Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,574
- 42,871
Single mothers 🕳️Uongo
Kuna kundi moja hapo umeliruka na ndio kundi kubwa sana
Single mothers 🕳️Uongo
Kuna kundi moja hapo umeliruka na ndio kundi kubwa sana
Ungekuwa unaijua sanaa ya uzinzi, hiki ulicholeta, wala usingelifikira kukileta.Hakika nimeshangazwa sana na kijana mmoja wa mtaani kwangu (jina kapuni) ambaye ametembea na wake za watu ishirini na sita (26).
Anasema kati ya hao 26, wengi ni waliomzidi umri. Na baadhi ni wake (wives) wa marafiki zake, wengine wamemzidi hali ya kiuchumi.
Kesho Ijumaa saa kumi kamili (16:00 hrs) jioni nitakuja na Uzi ambao utaelezea mambo yafuatayo
1. Sababu za huyu kijana kutembea na wake za watu 26 ambao mpaka sasa hao wake za watu wapo kwenye ndoa zao.
2. Mbinu alizokuwa anatumia kuwarubuni wake za watu.
3. Sababu zilizowafanya wake za watu kumpenda/kumkubali kijana huyo.
NB: Sitoweza kutaja jina, majina, wala sehemu wanazoishi wahusika.
Brother 😁 ume research eeeeeMakundi matatu ya wanawake rahisi kuwapata
1. Wake za watu
2. Wafanyakazi wa ndani
3. Wanafunzi
Ndio ni bodaboda hizo ndio zao kwaani uongoAtakuwa ni bodaboda lazima
Bodaboda anamgonga mkeo jichunguzeUngekuwa unaijua sanaa ya uzinzi, hiki ulicholeta, wala usingelifikira kukileta.
Bado hilo kundi hujalitajaSingle mothers 🕳️
Bodaboda anakutombea mkeo mwambie apunguze mazoea na huyo BodabodaAcha umbea mjuba
Jukumu la bodaboda walilopewa ni kusambaza ukimwi kwenye jamiiNdio ni bodaboda hizo ndio zao kwaani uongo
Ndomaana nikasema: yote yaliyoelezwa siyo issue, kwa sababu sanaa ya uzinzi ni pana, hata wewe ukiamua, utalala na mkoa mzima, haishangazi wala kusikitisha!Bodaboda anamgonga mkeo jichunguze
Tukupe MJIIII ili ututajie mkuu maana tumelisahau ILO KUNDI.Bado hilo kundi hujalitaja
Aah bado umekosa nipe mji sasaTukupe MJIIII ili ututajie mkuu maana tumelisahau ILO KUNDI.
Guess itakua MAMALISHE☺️
4. Wauzaji wa BarMakundi matatu ya wanawake rahisi kuwapata
1. Wake za watu
2. Wafanyakazi wa ndani
3. Wanafunzi
Bodaboda mida ya jioni pita kwenye vichochoro utawakuta wamewabananisha wake za watu hapo anaandaa mazingira safari kwenda kutombaNdomaana nikasema: yote yaliyoelezwa siyo issue, kwa sababu sanaa ya uzinzi ni pana, hata wewe ukiamua, utalala na mkoa mzima, haishangazi wala kusikitisha!
Ni maamuzi ya mtu tu.
Kwaiyo anaona ujiko au vipiHakika nimeshangazwa sana na kijana mmoja wa mtaani kwangu (jina kapuni) ambaye ametembea na wake za watu ishirini na sita (26).