Ategemee kupingwa sana awamu yake inayofuata

Ategemee kupingwa sana awamu yake inayofuata

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,662
Reaction score
3,017
Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
 
Hili nakubaliana nalo, naona likitokea kwa kasi sanaa term ijayo na mzozo utakua mkubwa zaidi 2030 kwenye kinyang'anyiro ndani ya chama
 
Nzi wa kijani fc ni waoga zaidi ya kunguru wa zanzibar, hakuna wa kupinga.
 

Attachments

  • IMG-20250609-WA0000.jpg
    IMG-20250609-WA0000.jpg
    46.1 KB · Views: 13
Back
Top Bottom