Kwa nini watu wasubiri kupinga?Ikitokea ameingia madarakani awamu ijayo basi ategemee kupingwa sana hata na wanakijani wenzake maana hapo watu hawatakuwa na wanachokitaka (mfano teuzi) kwa sasa watu wanajifanya hawaoni madudu yake kwa sababu wanajua atarudi tena na atakuwa na muda mrefu hivyo watakosa teuzi na kupingwa vikali, ila awamu ijayo watu hawatogopa hilo upingaji utakuwa mkubwa sana.
Kwa nini iwe bora "kupinga" kuliko kuzuia asiwepo wa kumpinga?
Hizi lugha zisizoeleweka mnazozitumia sijui huwa zinawasaidia kitu gani?
Hao unaowapanga "kupinga" hawana tofauti yoyote na wewe jinsi ulivyowasilisha mada yako hapa. Nyote ni wanafiki tu!