saidhorizons
Member
- Aug 10, 2009
- 37
- 4
Uwezekano wa Celtic Corporation kuwa briefcase company wala si jambo la kushangaza.
Madege ya abiria kama makuukuu kama Boeing 737 yako mengi tu ambayo yananunuliwaga kwa bei ya mitumba. Kwahiyo ukiwa wewe ni afisa wa ATCL na una akili ya kifisadi-fisadi nirahisi sana kama una niya ya namuna hiyo kupata mfanyabiashara UK, Canada au USA na kumwambia akupatie dege la kununuwa au kukodisha kwa bei nafuu.
Ukiendaga kwa mfanyabiashara wa namuna hiyo atakununulia Boeing 737 ya $500,000 au chini ya hapo na kuipakaa rangi kidogo ili ipendeze na kuifanyia ukarabati wa juu juu ili iweze kupata bare minimum air certification.
Ndege za namna hiyo ziko nyingi kwenye soko la madege-mitumba hasa wakati huu wa economic slowdown, kama hii hapa chini:
1980 BOEING 737-200 US $495,000 CA, US
For Sale - $495,000, 55410 TT; 2004 Paint; 2004 Int; 103 Seats; UNBELIEVEABLE PRICE OF $495,000, RENOVATED INTERIOR, MSG-2, CHECKS FRESH 2004, -17 ENGINES.
Phone: (831)333-9033
Fax: (831)333-9035 Details
Updated: 12/2/2009 11:42:00 AM
Hapo ndipo Mbongo anapigaga mahesabu yake na kutuletea dege kuukuu kama lile la Costa Rica na huku wananchi tunaendelea kuliwa