Abeltrainer
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 204
- 358
Shirika la ATCL linapoelekea linapoteza muelekeo kabisa...sasa hivi tupo Mwanza international airport tunasuburi ndege tangu saa tano na nusu usiku, na mpaka sasa hivi wanatuambia kuwa tutaondoka saa tisa usiku.
Mnafeli wapi, mnasogeza muda kwa takriban masaa matatu na nusu?
Bado kwenye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana
Mnafeli wapi, mnasogeza muda kwa takriban masaa matatu na nusu?
Bado kwenye check up, machine hazifanyi kazi, tunakaguliwa kama wafungwa, ATCL mnatakiwa mjitafakari sana