ATCL kuanza na kosa la kwanza

ATCL kuanza na kosa la kwanza

Mkuu Msambichaka, kwenye digital world, inawezekana kabisa kuuza tiketi online bila kuwatumia mawakala. Mawakala wanaozungumzwa hapa sio mawakala traveling agents, bali mawakala commissioned agents wana operate kama ofisi za
ATCL, badala ya kutumia mawakala, wanauza tickets on line. Fast Jet wana ofisi zao kule tuu mdege yao inakotua, na hawana wakala popote na mauzo yote ni online!, ila kwa mujibu wa sheria ya kimataifa ya shirika la kimataifa la wakala wa usafiri wa Anga, IATA, wakala yoyote aliyesajiliwa IATA kupitia mtandao wa Galileo, anaweza jyfanya booking yoyote ya ndege yoyote, hivyo abiria wa Tanzania yote watapata tiketi za ATCL popote kupitia traveling agents wengine, ila kule ATCL inatua, lazima wawe na agents for clearing.

Pasco
Ufafanuzi mzuri
 
Tatizo wengi wanadhani wakala ni lazima akae ofisini wamwone. Unapokata ticket online ya fastjet au Precision au kampuni nyingine yoyote, pale kuna wakala, na kuna wakati kunakuwa na mawakala wawili. Kwa fastjet kuna mtandao unaokuwezesha ufanye hayo malipo (Mpesa, Airtel Money, MaxMalipo, etc) na pia kuna PayPal ambaye ndiye wakala wa Fastjet.

Kwa hiyo kwa ujumla unazidi kuniunga mkono kuwa ni ngumu sana kwa ulimwengu wa leo kufanya biashara 100% bila ya kutumia wakala.

Sio kweli...

Siku hizi watu wanakata ticket online...Fastjet watu wanakata ticket online..Precision hivyohivyo...

Mashirika yote ya ndege ya nje KW, Emirates, Qatar, Etihad n.k wanakata ticket online...

Ukienda JNIA..KIA..Songwe na viwanja vingine unakata ticket bila kutumia Wakala.
 
Pasco,
Usidanganye watu, hata ukiuza online bado unatumia agents. Hata mpesa au Tigo pesa au credit cards ni agents.

Ina maana atcl itengeneze utaratibu wake yenyewe wa kupokea malipo kitu ambacho haina uwezo.
Nyie watu mnaishi dunia gani na huyo rais wenu?

Mkuu Msambichaka, kwenye digital world, inawezekana kabisa kuuza tiketi online bila kuwatumia mawakala. Mawakala wanaozungumzwa hapa sio mawakala traveling agents, bali mawakala commissioned agents wana operate kama ofisi za
ATCL, badala ya kutumia mawakala, wanauza tickets on line. Fast Jet wana ofisi zao kule tuu mdege yao inakotua, na hawana wakala popote na mauzo yote ni online!, ila kwa mujibu wa sheria ya kimataifa ya shirika la kimataifa la wakala wa usafiri wa Anga, IATA, wakala yoyote aliyesajiliwa IATA kupitia mtandao wa Galileo, anaweza jyfanya booking yoyote ya ndege yoyote, hivyo abiria wa Tanzania yote watapata tiketi za ATCL popote kupitia traveling agents wengine, ila kule ATCL inatua, lazima wawe na agents for clearing.

Pasco
 
Ili uweze kukata ticket mahali popote ulipo ni lazima utumie mawakala. Haijalishi unakata ticket kwenye ofisi, simu au kwenye laptop yako, utatumia wakala. Kutaka kila kitu ufanye wewe mwenyewe ndiyo mbinu ya kizamani ya kuendesha biashara.

Hivi unajua hata unapokata ticket yako na kulipia kupitia mitandao kama Airtel, Vodacom na wengineo unatumia wakala? Hii niliyoitoa hapa ni sehemu ya elimu maana usiamini kuwa wanaohitaji elimu ni wale watu wa chini kabisa, kila mtu anahitaji elimu kwenye jambo fulani. Watawala na viongozi wa serikali wanahitaji elimu pia kwenye masuala ya biashara kama ilivyo kwa mfanyabiashara akiingizwa serikalini atahitaji elimu juu ya jinsi serikali inavyofanya kazi. Hakuna anayejua kila kitu, ndiyo maana ukifanya biashara kwa kutaka ufanye kila kitu wewe mwenyewe lazima uangukie pua.

Anayekuonesha mahali penye hitilifu ndiye anayekujenga kuliko anayekushangilia kila mahali. Ndiyo maana hata kwenye management performance assessment wewe uliye boss unatakiwa uwaombe direct reports wako wakueleze your weaknesses na siyo your strengths. Hayo ya Deo RIP ni out of context.
Msambichaka nakubaliana na wewe! Elimu haina mwisho. Nilikuwa sijui kuwa mitandao tunakokatia tiketi ni agents vile vile. Ila najua kwa kutumia mitandao unalipa kama tunavyolipa kutuma msg, kutoa hela, kutuma hela etc. Sasa inanijia kuwa kwa vile unakata tiketi kupitia say Tigo and the like, unafanya biashara watakutoza zaidi. Hivyo ni agent! Am I right ?
 
Well said mtoa mada. Kuna vitu serikali haitakiwi kuingilia, siasa pembeni acha watu wafanye kazi. Wakala hakwepeki, maxmalipo, mitandao ya simu nk lazima viwe integrated kwenye system ili kupunguza mtu mmoja mmoja/ofisi nyingi kufanya kazi.
 
Mkuu Msambichaka, kwenye digital world, inawezekana kabisa kuuza tiketi online bila kuwatumia mawakala. Mawakala wanaozungumzwa hapa sio mawakala traveling agents, bali mawakala commissioned agents wana operate kama ofisi za
ATCL, badala ya kutumia mawakala, wanauza tickets on line. Fast Jet wana ofisi zao kule tuu mdege yao inakotua, na hawana wakala popote na mauzo yote ni online!, ila kwa mujibu wa sheria ya kimataifa ya shirika la kimataifa la wakala wa usafiri wa Anga, IATA, wakala yoyote aliyesajiliwa IATA kupitia mtandao wa Galileo, anaweza jyfanya booking yoyote ya ndege yoyote, hivyo abiria wa Tanzania yote watapata tiketi za ATCL popote kupitia traveling agents wengine, ila kule ATCL inatua, lazima wawe na agents for clearing.

Pasco

Kuwa na elimu nusu ni hatari zaidi kuliko kutokuwa na elimu kabisa. Yaani mtu anasimama kutaka kumpinga tu Magufuli bila kuzingatia mabadiliko ya kiteknolojia hasa ya malipo katika dunia ya leo.

BAVICHA wana kipindi kigumu sana safari hii kumkosoa Magufuli.
 
Pale Mh sana alipoagiza wasitumie mawakala hapo ndio siumuelewa! Na zile calc zake ame copy za mtu mmoja kwenye mitandao ambae nae amemlisha chaka! Zile km sio halisia na ni za barabara sio air distance
 
Nasafiri mara nyingi. Na sifahamu kama kuna shirika la ndege ambalo halitumia mawakala ila mawakala wamebadilika kutoka kwenye mazoea ya zamani ambapo ilikuwa mpaka uende kwenye ofisi zao, leo ni online agents.

mkuu sikuhizi systems zimebadirika! ulisafiri lini mala ya mwisho? I mean international freight? huwakilakitu kiko online na mawakala huwa makampuni mengi wanadiscourage! Ila ni hoja ukizingatia systems ya zamani hapo agents role yao ilikua kubwa
 
Kuwa na elimu nusu ni hatari zaidi kuliko kutokuwa na elimu kabisa. Yaani mtu anasimama kutaka kumpinga tu Magufuli bila kuzingatia mabadiliko ya kiteknolojia hasa ya malipo katika dunia ya leo.

BAVICHA wana kipindi kigumu sana safari hii kumkosoa Magufuli.
Sio kila anayepinga ni bavicha or whatever you think. Kwa dunia ya sasa huwezi kufanya kazi bila agents, agents wa kielectroniki sio wale wa kizamani, na ndio maana hata UDART aliamua kutumia agent ie, MAXMALIPO kuongeza ufanisi wa kukusanya mapato.

ATCL waweke online ticket and booking(that's an agent), watumie networks kama mpesa nk(hao ni maagenti) na wawe na clearing office kwenye destination zote.

Kwa karne hii huwezi kukwepa mawakala, hata KLM nk wanatumia online agents kuuza tickets.
 
naona element za "UCHOCHEZI"..mkuu,nakuunga mkono maana umetumia macho kutazama matukio yote,umetumia masikio kusikia matukio yote na sasa unatumia mdomo kutoa ushuhuda wa matukio yote..
 
Hii moja ya post zenye hoja zenye mantiki sana. Big up mleta mada.
Hili la kuwatumia mawakala halikwepeki. Napenda kuamini Prof. Mbarawa anao uwezo wa kumpa taarifa sahihi Rais na akabadili mawazo yake.
Hawezi anaogopa! Hawezi kusema! It is a pity!
 
Sio kila anayepinga ni bavicha or whatever you think. Kwa dunia ya sasa huwezi kufanya kazi bila agents, agents wa kielectroniki sio wale wa kizamani, na ndio maana hata UDART aliamua kutumia agent ie, MAXMALIPO kuongeza ufanisi wa kukusanya mapato.

ATCL waweke online ticket and booking(that's an agent), watumie networks kama mpesa nk(hao ni maagenti) na wawe na clearing office kwenye destination zote.

Kwa karne hii huwezi kukwepa mawakala, hata KLM nk wanatumia online agents kuuza tickets.
Eli humu JF chagua wa kubishana nao. Huyu Ibambasi ni wale wa Lumumba! Hajui kuwa na M pesa ni agent!
 
Pasco nakubaliana nawe kuwa siku hizi mashirika ya ndege karibia yote Duniani yanatumia online services. Lakini hata huko kuna agents. Unaposema ATCL wasitumie mawakala, ina maanisha itakuwa na miundombinu yao? Lakini pia tusiukatae ukweli kuwa bado watanzania wengi hawatumii online services. Ndiyo maana ukienda ofisi za fastjet, pamoja na kuwepo online service bado unawakuta wateja wamejazana. Sina uhakika kati ya wateja wanaotumia online service na wale wanaokata ticket zao kwenye ofisi, ni ipi idadi ambayo ni kubwa.

Unayefanya biashara, unatafuta faida na wateja wengi, hata kama una online service bado utalzimika uwatafute kwa njia nyingine yoyote ambayo itakupa wateja wengi zaidi.

Mkuu Msambichaka, kwenye digital world, inawezekana kabisa kuuza tiketi online bila kuwatumia mawakala. Mawakala wanaozungumzwa hapa sio mawakala traveling agents, bali mawakala commissioned agents wana operate kama ofisi za
ATCL, badala ya kutumia mawakala, wanauza tickets on line. Fast Jet wana ofisi zao kule tuu mdege yao inakotua, na hawana wakala popote na mauzo yote ni online!, ila kwa mujibu wa sheria ya kimataifa ya shirika la kimataifa la wakala wa usafiri wa Anga, IATA, wakala yoyote aliyesajiliwa IATA kupitia mtandao wa Galileo, anaweza jyfanya booking yoyote ya ndege yoyote, hivyo abiria wa Tanzania yote watapata tiketi za ATCL popote kupitia traveling agents wengine, ila kule ATCL inatua, lazima wawe na agents for clearing.

Pasco
 
Hacheni kupotosha nyie, dunia kwa sasa ipo mkononi kwako, cha msingi n ATCL kuwa na wataalum wa IT wa kutosha ili tiketi zinunuliwe online kama fastjet, nambie kama kila mkoa una agent au Ofisi ya fastjet.

Si lazima kuwepo mawakala kila sehemu, asilimia kubwa watu Wana smart phone na wanaweza kukata ticket kwa mfumo.

Mbona betting hata mtu ambae hana elimu ana bet online na anaweza!

Cha msingi ni kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi na wataelewa tu, Hacheni kupotosha kila kitu.

Kama utaki kuipanda tuache sisi tutaipanda tu na ticket tutazifuata popote pale hata kama ni nanjilinji tutazifuata tu.

Uzalendo kwanza, mbona ticket za Yanga na Simba tunazikutaga Taifa miaka yote na hulalamiki na husemi pawepo mawakala wa ticket kila wilaya?
 
Mtoa hoja ameidadavua vizuri hoja yake. Tusibishe kila kitu wandugu
 
Kiongozi, ukishasema "watu wana smartphones" maana yake lazima watumie technology ya mtu kupata huduma. Hizo online booking tayari utawatumia wakala, maxmalipo, mpesa, tigopesa, websites...etc. sasa hivi kuna makampuni mengi yanatengeneza online services kwa ajili ya mashirika. Yaani unakwepaje hawa mawakala?
 
KWA HIYO UNASHAURI NINI KIFANYIKE ILI NDEGE ZETU ZIDUMU ANGANI NDUGU?

Air Tanzania haiwezi kufanikiwa chini ya akili za awamu ya tano kwa sababu nazo ni akili zilezile za awamu za nyuma zilizoliua shirika, tofauti tu ni kwamba za awamu hii zimejaa kufokafoka zaidi.
 
Na kwa ulimwengu wa Leo Digital huwezi kufanya biashara na ikakua bila agent.
Malipo ya online kwa mashirika makubwa hasa ya ndege ni bora zaidi kuliko cash kwa ofice zao za Atcl na unapolipa online ndio unahusisha Agents km M pesa,tigo pesa,airtel money, Max malipo n.k
 
jf inaanza kurudi nini? naona watu wanaonge mbolea kwenye hii post
 
ATCL kama yalivyo mashirika mengine ya umma, kila mara imekuwa ikizaliwa na kufa kutokana na muundo wake usiokuwa wa kibiashara. TANESCO isiyo na mshindani yeyote, TTCL ambayo awali haikuwa na mshindani, na mengine mengi yaliyokwishakufa na yaliyouzwa, mashirika yote hayo yalikufa kwa sababu yalianzishwa, kuendeshwa na kusimamiwa kiserikali/kisiasa.

Serikali haijawahi kuendesha biashara ikafanikiwa. Tatizo linaanzia kwenye muundo wa haya mashirika/makampuni. Wanasiasa/viongozi wa serikali ambao kimsingi si wafanyabiashara ndiyo waliotengeneza muundo wa uendeshaji na ndiyo wenye kauli ya mwisho. Vigezo vya wajumbe wa bodi na watendaji wakuu wanavyo wao. Na siku hizi PhD imekuwa ni kigezo kikubwa sana ingawa kiuhalisia, kwa Dunia nzima, ni nadra sana kuwaona wenye PhD wakiwa wafanyabiashara wazuri na waliofanikiwa.

Juzi wakati Mh. Rais akizindua ujio wa ndege mpya alisema ATCL imezaliwa upya, ina ndege mpya, bodi mpya na uongozi mpya, sikusikia kama ina muundo mpya wa uendeshaji na usimamizi. Bado inaonekana ATCL itandeshwa kwa mkono wa serikali.

RAIS - 'ATCL ISITUMIE MAWAKALA WA KUKATISHA TIKETI'

Hili tayari ni agizo ambalo naamini ni agizo lisilo sahihi. Tayari serikali imeanza toka hatua za mwanzo kuingilia uendeshaji wa ATCL. Rais anapoagiza ATCL isitumie mawakala wa kukatisha tiketi inamaanisha ATCL iwe na wafanyakazi waajiriwa kila mahali nchini. Gharama za maelekezo hayo itakuwa kama ifuatavyo:
  • ATCL italazimika kuwalipa wakatisha tiketi mishahara, matibabu, posho, michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, usafiri, n.k. ATCL italazimika kulipia gharama hizo zote bila ya kujali mkatisha tiketi anakatisha tiketi ngapi au kama amepata wateja au hakupata kabisa
  • ATCL italazimika kulipia ofisi na kuweka miundombinu ya ukatishaji ticket nchi nzima. Ifahamike kuwa ukitaka kuwa na ufanisi unalazimika kuwa na ofisi za ukatishaji tiketi hata mahali ambapo ndege haitui, kwaajili ya kuhudumia abiria wanaotoka maeneo hayo wanaotarajia kutumia usafiri wa ATCL kutokea uwanja ulio karibu
  • ATCL italazimika kuwapa mafunzo wakatisha ticket watakaotapakaa nchi nzima
Wakati ATCL watakapokuwa wanahangaika na kuwa na wakatisha ticket wao na ofisi zao, washindani wao wataendelea kuwa na wafanyakazi wachache, wakiwa na mawakala wengi wanaolipwa kutokana na idadi ya ticket na thamani ya ticket walizokatisha. Hawalipii ofisi, hawalipii matibabu, hawalipii michango ya hifadhi ya jamii, hawalipii likizo ya mfanyakazi. Mawakala wao wanalipwa kutokana na wanachozalisha, wasipozalisha hawalipwi chochote.

ATCL wanaanza na quandary ya kwanza, wafuate maagizo ya mwenye mali au kanuni za biashara? Je, hii ni ya mwanzo na ya mwisho au zitaendelea kuja na nyingine? Kwa kuwa tatizo la msingi la uendeshaji biashara zilizo chini ya serikali halijatatuliwa, haitakuwa jambo la ajabu ATCL kufuata projectile ya mashirika/makampuni ya umma.
POINT!!!
Hapa Serikali inabidi iwe kama muangalizi na kusupport pale inapohitajika. Lakn CEO au Sijui mkurugenzi wa ATCL apewe mwanya wa kukaa na timu yake ya EXPERTS wa mambo haya waje na plan/business stratergy ambayo itakuwa ni cost effective kama ulivyoeleza mkuu hapo juu.

Ni lazime wafanye COST BENEFIT ANALYSIS, Wafanye HIRE OR EMPLOY DECISION based on expert opinions.
Fastjet wanaondoa Madege yao makubwa wanakuja na ndege ndogo. Hii sio kauli ya Mwenye ndege bali ni CEO wao mpya alipkaa na Team yake na kuja na PLAN inayokidhi changamoto inayokabili shirika lao sasa.

Naunga mkono hoja.
 
Back
Top Bottom