Ni sheria gani inayosema viongozi wa serikali wanapanda ndege bure. Tuwekee hapa tuioneViongozi serikalini wanaotibiwa india watakuwa wanasafiri bure na hapo ndipo kodi ya Mtanzania itakavyotumika ovyo
Direct flight sio kizuizi cha kufika popote duniani, awamu iliyopita Emirates na Qatar zilikuwa zinaingia Mbili kwa siku na zimeshona,siku hizi zinakuja trip moja na hazishoniUkienda huko kwa watalii wachache ndio wataongezeka...!!walikuwa hawaji partly because hakukuwa na direct flight.
Weka statustics za awamu iliyopita na hii hapa tuoneWatalii hawashindwi kuja sababu ya kukosa ndege shida ni Yale makodi waliyoyaweka kwenye utalii,MBONA awamu iliyopita walikuwa wakija wengi sana kuliko awamu hii na kulikuwa hakuna ndege
Wanaoingia kwa wingi kwa siku ni wachina na wahindi kwa dar to India kwa direct fly ni mda mfupi sana hauzidi masaa matano,sio mbaya kuanzia,then nyingine iende direct to chinaNadhani hii route ni nzuri sana kwa kuanzia. Kla nikipanda ndege kutoka Doha, Addis Ababa etc inakuwa imejaza wachina na wahindi. Wakipata route ya direct to Dar wataitumia
Kamanda kufa tu maana huna jinsi. Magufuli kanyaga twende babaMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Nenda body ya takwimu utazikuta,Emirates na Qatar zilikuwa zinakuja Mbili kwa siku zimeshona siku hizi zinakuja moja na abiria sio wengi,Weka statustics za awamu iliyopita na hii hapa tuone
Hivi kumbe Emirates zilikuwa zinatua JNIA mbili kwa siku kipindi JK? Hilo nimelifahamu leo, seriously!!!Direct flight sio kizuizi cha kufika popote duniani, awamu iliyopita Emirates na Qatar zilikuwa zinaingia Mbili kwa siku na zimeshona,siku hizi zinakuja trip moja na hazishoni
Ndio walileta ndege 2 kuanzia 2014 hadi 2016 wakajitoaHivi kumbe Emirates zilikuwa zinatua JNIA mbili kwa siku kipindi JK? Hilo nimelifahamu leo, seriously!!!
Maana dawa yenyu nyie ni kwatukana tuMzigo kwa walipa kodi huo unaenda kuongezeka.
More routes, more loss; the longer the routes, the bigger loss we incur(disturbing fact).
Tumewazoe, tunasubiri muda ufike mbadili maneno.Kamanda kufa tu maana huna jinsi. Magufuli kanyaga twende baba
Mkuu uko negative mno sijui kwa nini.Kwani hao EMIRATES walianza vipi?Yaani mtu aache Emirates, Qatar na Etihad zenye Warembo na Huduma nzuri vile aje kupanda ATC yenye Wahudumu wazembe hivyo. Halafu KQ pamoja na bidii zote za kutangaza na lobying washindwe ATCL iweze !!! Endeleeni kuongeza hasara.
Kuna wajinga flan wanaongea shit, sijui walitaka ndege zetu ziende wapiKuna habari gani humu?
Warrant paper uwa inaandikwa kwa ajali ya viongozi kupanda usafiri bureNi sheria gani inayosema viongozi wa serikali wanapanda ndege bure. Tuwekee hapa tuione