ATCL Cabin ... Uniforms Cost USD49,000 ( PHOTO)


Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.
Nimejikuta nacheka badala ya kusikitika. Hivi hao wabunifu wa hizo uniform zinazogharimu mamilioni yote hayo hawajawahi hata kupanda ndege moja wakajifunza cabin crew wa wenzao wana uniform za namna gani? Duh, wauza bar wa Rombo green view wana uniform bomba sana kuliko hizi, na zimewaghalimu less than milioni mbili kuzishona. Hapa kwa kweli wanaomtetea Chizi na wenyewe ni machizi tu. Huyu akamatwe afungwe kabisa pumbafu zake.
 

Ulishawahi kudandia ni nini. Majeruhi hutoacha kuwajua! Pole jamaa yangu. Kila mianya itazibwa soon.
 
Ma Local designers wetu wangeshindwa kufanya kazi nzuri zaidi ya hiyo? kwanini tusingewapa kazi hiyo na kuwataka wabuni African Dress ambayo ingevutia zaidi kuliko hii utafikiria housekeepers wa hotelini?
 
Ni Tshs 78,000,000 na ni wastani wa 4,000,00 kwa jozi moja, Tanzaniaaaaaaa ehe!

 
watawapata wapi ndugu yangu? hata hizo kazi anaangaliwa mtoto wa nani ndugu, sio kila mtu tu anakwenda hapa ATCL

Wangetafuta basi angalau wadada wazuri wazuri zikawapendeza...
 
Kitenge/batiki kwa usd 49,000 duh!!
Tatizo lingine ni la hao walioenda kukaaa huko zaidi ya mwezi kufuatilia ushonaji?? hivi ukipeleka nguo kwa fundi ni lazima ukae hapo kwake unaangalia hadi amalize kushona??? hii ni balaaaaa zaidiiii, ndio tunaisikia. Ndo maana wafanyakazi wanamlilia huyo bosi wao, ni kama wale wa JAIRO.
 
WEWE ULITAKA AMWEKE NANI? Uwe muwazi.
 

We utakuwa ni mgonjwa wa akili.pole sana.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Uchungu hakuna nia ni kujitajirisha tu na huko jehanamu mtakiona cha moto,yaani mnauwa mashirika ya umma kwa ubinafsi wenu?hivi mnajua ni watu wangapi leo hii hawana ajira kutokana na hilo wanazurura mitaani wakati majumbani kwenu kila mtu ana gari lake!you will pay for this,2015 siyo mbali sana,angalieni yanoyotokea kule Misri yaani watu walivyo na hasira hata adhabu ya kifungo cha maisha inaonekana ni ndogo.
 
Usikute kwanza zimeshonwa kwa fundi Juma tu pale Posta

Lakini tujiulize kwani kwa ubora zina matatizo gani au kwa sababu sio suti? Pia labda ziko za aina nyingine kwani naamini haiwezekani wakawa wanavaa nguo za aina mja kila siku. Hata hivyo nauliza tu.
 
Ulishawahi kudandia ni nini. Majeruhi hutoacha kuwajua! Pole jamaa yangu. Kila mianya itazibwa soon.

Sio kosa lako ukikua utaacha,Majeruhi wa nini sasa ?siko kwenye hiyo sekta kwa taarifa yako I have nothing to loose in this saga nilikuwa nasahihisha tu kilichoonyeshwa kwenye picha.mi siishi mjini kwa mianya kama unavyofikiri naishi kwa jasho langu bana.
 

Wanajamvi, ndiyo Uniform zenyewe hizi, ndiyo hapo utakaposhindwa kushangaa na kuanza kujiuliza hivi ni lini tutaamua kuacha kujiaibisha wenyewe kwa mambo yaliyo wazi kama hili.

Manguo yenyewe kisha madekio tu hata madesigner wetu wakina Remtula na Mustafa Hassanali wandewatengenezea nzuri zaidi huu ni ubadhilifu na wizi mkubwa wa fedha za umma.
 
Hata Mustafa Hasanal tunaye hapa,wako kina Gulam Patel mtaalam wa suti,wako Italian Shoes wanao shona uniform za aina zote,na hakika hata milion 5 zisingeisha kwa uniform 17,shirika lenyewe lina madeni kibao bado unaenda kushona ngo kwa milion 70,

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Sasa mbona mapovu yanakutoka hivyo! Kunywa maji kwanza!
 
Mpaka sasa hivi muheshimiwa JK bado hujajua ni kwanini Watanzania ni masikini??????:frusty:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…