ATCL: Another Richmond!

tunashukuru.... ila kuiweka kwenye context hakikisha unanunua "Raia Mwema" la leo...
 
MKJJ nimejaribu kulitafuta nimekwama mkuu ina maana wanachapisha copy chache au kijiweni kwetu wameyawahi wajanja?? Need a copy fast, but where??
 
Nashangaa hata mimi hata hivyo nitaweka stori yao kwenye KLH News... within an hour..! so check for breaking news..
 
Naam!

Hichi tulikisema kwenye thread zilizopita,

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=7127

Kwamba itakuwa nmaajabu ATCL iweze kuamka na kutoa ushindani wa kweli!

Sasa Hayooooo!!!

Jamani, wauzieni Precision mbaki na share kidogo humo! Au hata Community, pamoja na kwamba hatujui watafanikiwa kiasi gani lakini kama watu binafsi wameweza kuamka na kuanza kitu, ni bora mara mia kuliko hao wanaopewa vilivyokwishapikwa lakini wakashindwa kutafuna?
 
Kaaazi kweli kweli hapo mahali...... Jamani ndugu zangu waTanzania na wanaJambo, "kweli tutafika jamani kule walipofika wenzatu kwa mwendo huu??"

Sawa ngoja tuone kitakachojiri mambo yakiwekwa mchana kweupee manake kama la BoT, "itabidi TUME iundwe kufanya uchunguzi hapo (ha ha haaaaa), si mchezo!!
 
"" Breaking News""

""atcl Kupunguza Wafanyakazi""

kampuni Ya Ndege Ya Tanzaniabaada Ya Kupata Misukosuko Ikiwemo Swala La Mahujaji Na Ukodishwaji Wa Ndege Ambao Umepelekea Kampuni Kutokuwa Na Hela Kwenye Acc Hivi Sasa Iko Katika Mikakata Ya Kupunguza Wafanyakazi Wake.....wakiwemo Wale Wwote Waliokuwa Wakifichua Ama Kupinga Waheshimiwa Wasifanikiwe Katika Dhamira Zao Za Milo.......

habari Zilitofikia Ni Kwamba Zoezi Hili Linatarajiwa Kuchukua Mkondo Wake Muda Si Mrefu Kama Adhabu Kwa Wale Wote Waliokuwa Kinyume Na Management....kwa Kweli Hili Linatisha ,,,,mtu Mmoja Alie Karibu Na Mwenyekiti Wa Bodi Ammemjulisha Kwamba Katika Hili Hatamwaacha Yoyoyte Hasa Wale Waliokuwa Wakishabikia Sakata La Mahujaji.....na Mengineyo ..kwa Habati Zaidi Stay In Tune...bado Najiuliza Mambo Matatu Katika Hili

1))je Kufichua Maovu Adhabu Yake Ni Kumfukuza Mtu Au????je Nidhambi Kuwafichua Wale Wanaolipeleka Shirika Pabaya

2))bwana David Mattaka;;hivi Majuzi Kumekuwa Na Ajira Zisizofaa Na Watu Wamelalamika Sana Je Wakati Mkiajiri Hamkujua Shirika Lintakiwa Kuwa Na Watu Pungufu????

3))je Kuna Rubani Aliekwenda Nje Kwa Ajili Ya Kwenda Kuangalia Ule Mkangafu Mnaouleta Kama Sikupewa Data Vizuri Ni Rubani Muze;;wakati Mkiwaacha Wakikaa Kule Miezi Miwili Mpaka Uliposikia Wtu Wanalalamika Haukujua Anatakiwa Kulipwa Hela Kule Aliko Bila Kazi Ya Msingi???((400,000*60))=u.........adi.

3))je Zile 300,000 Mlizokuwa Mnalipana Sababu Ya Mahujaji Umepata Jumla Yake Au Kwasababu Serikali Ilitoa Billion Moja Mkaamua Kuakikisha Hakuna Zinazorudi???

4))yale Magari Nasikia Mliowadangaya Watanzania Mmennunua Doller35,000 Wakati Dubai Ni Million 15,million 20 Kwa Magari 25 Mlioleta Hamwoni Mnatafutwa Kuchomwa Moto Kabla Hamjafa....hamkujua Hili Lingelipeleka Shirika Pabaya Mpaka Mnaamua Kufukuza Watanzania Wasio Na Hatia...

5))wafanyakazi Hii Nimetumiwa Nikiwa London Kama Mlikuwa Hamjui Kuwe Maco Na Mishahara Yenu Na Hawa Watu...wanatumbua Kila Siku Mnaadhibiwa Nyie

6))serikali Mko Wapi Kwa Hili????je Vyama Vya Wafanyakazi Vipo Hapo Atcl...cijapata Mtu Wakunibrief Zaidi

7)))ma Lawyer Tunaomba Muingilie Kati Kwenye Hili Swala Haki Itendeke

Ushindi Lazima
 
duh Nimetumiwa Yaliyomo Kwenye Gazeti La Raia Mwema Jamani Eeh Mola Weeh
 
Yona Maro is a freelance writer and online researcher based living in Tanzania and frequently contributes to Tips and Topics. He has published numerous articles in local and regional publications on a wide range of topics, including business, education, the arts, and local events
 


Jamani hili ndilo dege lenu la Milioni 30 USD ambalo linafanyiwa "Pimp my ride" huko El Salvador. Tumelikodisha toka Monrovia, Liberia.

Hivi sasa tumeanza kulilipia zaidi ya dola laki nne, wakati hata kufika halijafika!!
 
Nimesoma hii habari kwenye KLH news. Nimesikitika sana. Walafi wachache wanahatarisha maisha ya wengi kwa kununua ndege kuu ili kukidhi tamaa zao. Hatua tuliyofikia inatisha!
 
Rabi waokoe watu wako hata kama hawakuamini upo????hakika hakuna damu itakayomwacha akileta ,mambo yake kwa kuwaadhibu watu..aanze na kikosi cha mizinga %%eliasaph***
kama nilivyosoma hapo juu@@@@
 
Bongoson said:
Well put Bongoson... Thanks for initiating this saga. Nimeadili heading ili facts zianze kushushwa hapa. Nimeona wengi wamefungua threads kadha wa kadha lakini nimeziunganisha kwenye hoja mama ili tuwe na mtiririko mzuri.

Pundamilia07 added:
Good observations Pundamilia07! Thru these observations it's easy to get some facts that might be of great use. Pls keep this thread swinging!

BTW: Bongoson you seem to have only one post. Pls stay with us! Kunaweza kuibuka maswali ambayo yanahitaji mwanzisha mada atoe mwanga zaidi, log in and give out explanations whenever you've time.

Invisible
 

huyu sijui kama ana post moja, huenda kwa jina hili ndio ana post moja lkn mmhh ana nyingi huyu invisible mkuu
 
Ni mawazo mazuri na uchumbuzi makini. Jk kama huwa anapita hapa ubaoni atakuwa ameyaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…