Atatumia Boeing 787-8 dreamliner ama atatumia ndege ya Rais?

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,939
Rais kesho anaelekea USA! Najiuliza hapa ataenda na Ndege hipi? Airbus haiwezi kuruka direct to USA ila Boeing 787-8 dreamliner inaweza na tuna tuna ndege za aina mbili tu hapa zenye uwezo uo ambazo ni mali ya Serikali ni hiyo Dreamliner na ile ndege ya Rais aliyonunua Hayati Che Mkapa Gulfstreem G550.

Ngoja tuone hiyo kesho.

800px-Gulfstream_G550_Tanzania_-_Government_5H-ONE%2C_ZRH_Zurich_(Zurich-Kloten)%2C_Switzerlan...jpg
400x225_491093.jpg
 
Wangefanya maamuzi ieleweke tu

Ndege ya biashara kutumika kwa safari za kiongozi ni matumizi mabaya ya rasilimali
Akienda na dreamliner Utakua ni ushamba pro max na dharau kwa wananchi
 
Rais kesho anaelekea USA! Najiuliza hapa ataenda na Ndege hipi? Airbus haiwezi kuruka direct to USA ila Boeing 787-8 dreamliner inaweza na tuna tuna ndege za aina mbili tu hapa zenye uwezo uo ambazo ni mali ya Serikali ni hiyo Dreamliner na ile ndege ya Rais aliyonunua Hayati Che Mkapa Gulfstreem G550.

Ngoja tuone hiyo kesho.

View attachment 1942751View attachment 1942752
Kwa hiyo wewe unajua zaidi kuliko maafisa usalama?

Magu wenu uliwahi kumuona katumia ndege ya Rais? Pengine ni kibovu
 
Rais kesho anaelekea USA! Najiuliza hapa ataenda na Ndege hipi? Airbus haiwezi kuruka direct to USA ila Boeing 787-8 dreamliner inaweza na tuna tuna ndege za aina mbili tu hapa zenye uwezo uo ambazo ni mali ya Serikali ni hiyo Dreamliner na ile ndege ya Rais aliyonunua Hayati Che Mkapa Gulfstreem G550.

Ngoja tuone hiyo kesho.

View attachment 1942751View attachment 1942752
Wewe ukiwa na Toyota IST na Land cruiser L200 vxr ukipata safari ndefu utaenda na ipi?
 
Dreamliner ni bora kuliko gulfstream 5H-One maana lazima ataambatana ujumbe wa watu wasiopungua 15.
 
LAZIMA NITUMIE DREAM LINER, TUMEZINUNUA SISI HARAFU NIENDE NA MKANGAFU
 
Rais kesho anaelekea USA! Najiuliza hapa ataenda na Ndege hipi? Airbus haiwezi kuruka direct to USA ila Boeing 787-8 dreamliner inaweza na tuna tuna ndege za aina mbili tu hapa zenye uwezo uo ambazo ni mali ya Serikali ni hiyo Dreamliner na ile ndege ya Rais aliyonunua Hayati Che Mkapa Gulfstreem G550.

Ngoja tuone hiyo kesho.

View attachment 1942751View attachment 1942752
unauliza ili iweje unataka ukalipue au
 
Back
Top Bottom