Atatumia Boeing 787-8 dreamliner ama atatumia ndege ya Rais?

Safari ya Rais bora atumie ndege ya AirTanzania kwenda huko sababu zile ndege ni za serikali na hazina route yeyote ya maana kwa sasa .....gharama atakayo tumia kwenye mashirika mengine inaweza kuwa karibu sawa tu maana First class kwenye mashirika mengine ni zaidi DOLLAR 7000 kwa kichwa sasa wakiwa zaidi ya watu 20 sibora atumie ndege yao na hela inabaki Tanzania.
 
Itakuwa B 787 ... moja kati ya zile mbili, naona zinapashwa pashwa moto, Moja imeenda Mwanza mchana huu wakati nyingine imewasili kutoka Mumbai via Zanzibar. BTW kuna Airbus mbili zinaweza kuingia kundini siku si nyingi.
 
Atcl ikipiga hasara tunatafutana na kupandishiwa kodi kila kitu ili kufidia hasara
 
Kwani enzi za JK na BWM walisafiri na nini? We don't need to reinvent the wheel or live in the world of speculations.
 
Rais kesho anaelekea USA! Najiuliza hapa ataenda na Ndege hipi? Airbus haiwezi kuruka direct to USA ila Boeing 787-8 dreamliner inaweza na tuna tuna ndege za aina mbili tu hapa zenye uwezo uo ambazo ni mali ya Serikali ni hiyo Dreamliner na ile ndege ya Rais aliyonunua Hayati Che Mkapa Gulfstreem G550.

Ngoja tuone hiyo kesho.

View attachment 1942751View attachment 1942752
Bora aende Emirates kutupunguzia gharama!
 
Kwani enzi za JK na BWM walisafiri na nini? We don't need to reinvent the wheel or live in the world of speculations.
Ben alikuwa anatumia hizo zenye ufito wa blue. Zilikuwepo za ndani ya EA, nje y EA ila ndani ya Africa na ya nje ya Africa(G55)-JK

Kuhusu ipi ataondoka nayo, ni wazi tu Vasco ni mshauri, viongozi wa chama, viongozi wa matawi ya chama, mipango ya kando, wala bata, wote hawa hawawezi kutosha kwenye G55, otea kinachofuata
 
Hivi kwani shirika linaweza kuidindia serikali kama haipotoi keshi pale inapokua inahitaji ndege kwa ziara
 
Back
Top Bottom