Atashinda tena???


afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
Wana JF nilitaka kusikia maoni yenu kuhusu President Obama..
Mnazani atashinda tena uchaguzi unaokuja???:usa:
 

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,318
Likes
2,613
Points
280

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,318 2,613 280
itategemea hali ya uchumi itakavyokuwa in the next 2 years.
Also itategemea atasimama na nani.
Uchumi ukiendelea kudorora esp. now that unemployment is at 9.6, harudi tena!
For the time being he's very unpopular here
 

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
itategemea hali ya uchumi itakavyokuwa in the next 2 years.
Also itategemea atasimama na nani.
Uchumi ukiendelea kudorora esp. now that unemployment is at 9.6, harudi tena!
For the time being he's very unpopular here
jamini labda akichagliwa tena mambo yatabadilika ...
kwa sababu aliyoingia ofisini mambo yalikuwa si mazuri
na huwezi kubadili kila kitu ndani ya nchi kwa muda wa miaka 4 tu..
 

Forum statistics

Threads 1,204,818
Members 457,564
Posts 28,171,502