MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
Quote:
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="class: alt2, bgcolor: #FFFFFF"]http://sooyaalnews.com/wp-content/up...kenya-Army.jpg[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
Umekusudia hawa ni wakenya je el-shabab watapona kweli?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Quote:
[TABLE="width: 100%"]
<tbody>[TR]
[TD="class: alt2, bgcolor: #FFFFFF"]http://sooyaalnews.com/wp-content/up...kenya-Army.jpg[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
![]()
![]()
Uskute ni mikwala tu hiyo, jeshi la afrika dhiki tu bana! halina mpango wowote, kuna siku nilikuwa napiga soga sehem sehem na majeshi kama wanne hivi wa kiafrika nchi za kusini mwa afrika hafla ikapita lori ikapasuka tairi. Kulaleki! majeshi walitoka marathon ya nguvu na silaha wakaacha pale pale.
Tanzania tuna vifaa kama hivi kweli!viko wapi na sehemu gani?mh iman sina
Tanzania tuna vifaa kama hivi kweli!viko wapi na sehemu gani?mh iman sina
Tena makali kweli, yanlipuka yenyewe kwa hasira!!Yapo, ndio yale yanayolipuka kule Gongo la mboto na mbagala...
tanzania tuna vifaa vikali zaidi ya hivi wewe!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
quote:
[table="width: 100%"]
<tbody>[tr]
[td="class: Alt2, bgcolor: #ffffff"]http://sooyaalnews.com/wp-content/up...kenya-army.jpg[/td]
[/tr]
</tbody>[/table]
![]()
![]()
Tanzania tuna vifaa kama hivi kweli!viko wapi na sehemu gani?mh iman sina
Haponi mtu!
mmnahamu na vita wabongoeeeh!!
mkuu Daffi, usijali kufikiri sana juu ya kuwa navyo. Mwenzako Ghadafi alikuwa na hivyo mara 100 lakini kaondolewa madarakani na pick-ups mbovumbovu! Cha msingi hapa hakuna haja ya kuwekeza zaidi kwenye mavifaa ya namna hii bali kuwahakikishia 'wadau' uhakika wa mlo na uhuru wa kuamua watakavyo tu. Hao Al-Shaabab hawana hata kimoja lakini wanawalaza macho wenyenavyo. Ni kazi ngumu kufanys hivyo lskini hskuna jinsi!
mmnahamu na vita wabongoeeeh!!