Atamjuaje baba wa Mtoto????

DNA inafanyika kwa mtoto tumboni

Hana haja ya kuwatoa damu hao wanaume, anaweza kutumia kama miswaki, nywele zao kupeleka.

Ili asijichangane ningemshauri apeleke nywele za mmoja tu, na majibu yakitoka atajua baba ni yupi.

Ila ushauri mwengine ni kuwa aache tabia hiyo....haikubaliki


This is excellent piece of advise, very objective!! Thank you very much!
 
dah! I feel for the lady jamani.... Kuna wanaume ving'anga'nizi waweza mlaumu huyo dada but ukweli unabaki mwanaume kama huyo kazi ipo kumpotezea...

B2t kama alishapanga azae na huyu jamaa mpya, that is well and good. But hio mimba hata kama ni ya jamaa mpya huyo jamaa wa kale hawezi elewa ataona kama anapigwa tu changa la macho, hivo it is better mdada ajiandae kwa dna test mtoto atapo zaliwa... Hata hivo pamoja na matendo yoote ambayo jamaa anamfanyia ama niseme kumng'ang'ania naona huyo dada bado anampenda huyo mme wa mtu na hicho ndo kinamfanya ashindwe kutoa maamuzi yenye msimamo...

napita tu jamani sis under 18
 
Sasa kama alipanga kuzaa na jamaa yake mpya angetumiaje kondom? na pia, huyo kinganganizi naye anataka mtoto, alikua dada yuko kwenye denger days, hivyo na yeye alingangania yango na yango! Ndio kinachompa dada huzuni!

Rose hii ndio inanifanya niseme haya yote kweli ???
 
nyie madada wa jf mnasema hamtaki nyumba ndogo,
sasa huyu mwenzenu mnamkubali je, kwenda kulala na mibaba miwili
kwa siku huku akijua jamaa ana mke,
haya iwe kalala na mumeo ungemshauri nini.

tambua pia ata yeye mwenyewe katambua ilo ni kosa.
anajuta.
apend alichokifanya

na kwasababu AMEJUTIA KOSA LAKE BASI HAINA HAJA YA KUDEAL NA HISTORIA...CHA MSINGI MSHAURINI WAT NEXT.WAT 2DO FROM THAT...kuendelea kumshutumu sio poa...kaleta post ashauriwe sio kukandwa.kushutumiwa.

ameomba ushauri afanyaje JUU YYA MAFYONGO ALIYOFANYA...mtoto akinyea kiganja unakata?
nyie amjawai kukosea?


kila mtu anakosa..usipime uzito wwa kosa cz kosa ni kosa....so mshaurini tu jaman ..msimchambe nyinyi viumbe wa maulana...
 
Jamani dada zetu kwa nini msiwe wawazi? Kwanza hujatuambia huyo dada ana umri gani yawezekana tukalaumu tu kumbe maamuzi hayo yamefanyika kuendana na umri wa mhusika.
 
Aendelee na mpango wake tu, aseme tu mtoto ni wa huyo mchumba mpya alie single.

Kama ana nguvu aje afanye DNA ila kama anataka kupiga kimya auchune tu aseme ni mtoto wa huyo single ili ndoto zake zitimie na aishi kwa amani japo anaweza kuwa na kitu moyoni kila siku, kwanza si alifanya na huyo kaka siku ya 10 na hata hiyo ya 13 jamaa single ndio alianza sio, akomae tu.

Asipanic wala nini, kwani nyumba ngapi baba halisi wa watoto ni siri ya mama? Itakuwa yeye ambaye jamaa alipiga mechi kabisa
 
Asha,hiyo DNA sample za wanaume zake ataipataje? halafu siku hizi DNA test nasikia mpaka kwa order ya mahakama,ataipataje hiyo order?
Halafu nyie kinamama kwa kuteteana mmezidi,yaani mnaona kabisa mwenzenu kalikoroga lakini mmo tu mnatetea,kha! alishindwa nini kumwambia huyo mme wa mtu kuwa 'anaumwa kichwa?' mtaka yote tu huyu , aende zake huko.

Mapenzi ya halaiki yatatumaliza jamani. Huyo dada atavuna alichopanda kwa kupenda kushikiwa akili. Akapime akili kwanza.
 
Siku nyingine huwa unatoa point wewe!! Huwa unaniboa pale tu unapowalamba miguu mafisadi na kukumbatia magamba. By the way habari za Mwanza? nilijaribu kukuangalia pale PPF - Gold crest hotel sikukuona au ndiyo ulitoroka nilivyokuambia nitakutafuta?
Tatizo sisi watanzania tumezoea kulalamika sana! Kwani hao mafisadi walifikaje huko walipofika? Walitumia akili na opportuinities zilizokuwepo.
Pale niliondoka mapema, kesho yake nilikuwa na Safari. Sikusubiri hata cheti changu. Vp, walitoa cetificates? Au tutazichukulia huku dar?
 
Zinaa ni Uchafu, na uyo Dada yako ni Mchafu zaidi yaani inaonekana akiona kichaka tu lazima yambane. Hivi kwanini asiandae mazingira ya ndoa kabla ya kuhalalisha zinaa. Asubiri Vipimo vya DNA.
 
HII!!NI HALIII YA HATARII...huyo mdadaa kanisikitisha,yanii kulalaa na midume miwiliii kwa siku mojaaa,huyo dada anampenda mme wa mtu,sithani hata mwanaume akiwaa kinganganizii vipi huwezi kumnyimaa unyumbaa.that is big mistake in u life...ilaa mimbaa haiwezi kudungwaa mara mbiliii,itakuwaa ni yamwanamme wa kwanza alie lalaa nae huyo mme wa mtu amewekaa nguvu tu.chamuhimu subiri mtoto azaliwee?utajuaa ni damu ya naniii
 
tatizo ni kutatua tatizo na si kutengeneza tatizo

huyu mdada hana msimamo hata chembe kama yeye aliamua kuachana na jamaa kwa nini asimwambie na akasimamia maamuzi ??? inavyoonyesha yungali anampenda jamaa na kuna kitu ambacho kinamfanya ampende au auendelee kuwa naye , ,, sasa hapo kachanganya mambo hiyo mimba atampa nani hata kama utamwambia ni huyo jamaa mpya na jamaa wa zamani akidai chake kwa mdada ni picha gani kwa jamaa mpya??
 
Na huyo mtoto atakayezaliwa akikuwa akifanya hayo maroroso kama ya mamaye cjui wa kulaumiwa ni nani matatizo mengi huwa yanaanzishwa na chimbuko la vizazi vyetu
 
si km kuteteana ...mtu akikosa na akikiri amekosa kwa muungwana basi HATAKUWA NA MUDA TENA WA KUANZA KUMUHUKUMU AU KUMSIMANGA..i..limetokea la kutokea no way out ..na ameshajutia kosa basi ni vyema akashauriwa the best way ya kucover situation...

si km atujui km kakosa ..lahasha kaka twajua sana km kakosa tena kakosa sana..lakin ukipima uzito wa masononeko yaliyoko ndani yake sizan km u ni wakt mwafaka wa kuendelea kumsuta.kumwongezea masononeko...

afu ujii alikuwa kwenye situation ipi ..kwa upande wa uyo jamaa na yeye pia...kuna wanaume ata ukimwwambia naumwa kichwa anaweza kukujibu kwan KICHWA KINAHUSIKA VIP NA UKU DOWN...

msimuhukumu.kuwen fair.msaidien 4godsik
we Rose we na hilo jicho lako long time nshakwambia ntakuchapa.
Haya nambie hivi ingekuwa dume ka Bishanga kaharibu na anakuja omba msaada wanawake wa mmu si mngeniparura,na sisi muwe mnatuonea huruma basi.
 
Aendelee na mpango wake tu, aseme tu mtoto ni wa huyo
mchumba mpya alie single.

Kama ana nguvu aje afanye DNA ila kama anataka kupiga kimya auchune tu aseme ni mtoto wa huyo single ili ndoto zake zitimie na aishi kwa amani japo anaweza kuwa na kitu moyoni kila siku, kwanza si alifanya na huyo kaka siku ya 10 na hata hiyo ya 13 jamaa single ndio alianza sio, akomae tu.

Asipanic wala nini, kwani nyumba ngapi baba halisi wa watoto ni siri ya mama? Itakuwa yeye ambaye jamaa alipiga mechi kabisa
kaaaaaaazi kweli kweli!!!!!
 
siku 1 unalala na watu 2!!! hii takwimu inatia kichefuchefu!!hata bongo muvi haiko ivyo!!
na wote pekupeku utadhani hawajui duka la condom liko wapi,mtatuua nyie wanawake,sisi tunajihemu tunakuwa na mpenzi mmoja kumbe nyie mnaliwa dabo dabo.
 
Back
Top Bottom