Atakula vizuri Valentine yake huyu

true colour-wanawake hadimu sana
 
Mimi hata sijakuelewa!! umejuaje kuwa atakula vizuri Valentine yake?
By the way Valentine sijawahi kuiona sehemu ikiuzwa kama chakula!!! Najuta kutoka kijijini juzi maana hata chakula kinachoitwa Valentine sijawahi kula!
 
Mkuu picha inazungumza, kesho nitakuwekea akila baga la kitumbua
 
Unaitwa Yebo Yebo.
Huo msuko wa nywele waitwaje?

Maana hicho kichwa kikiegemeshwa kifuani na hiyo minywele si kuumizana jamani kama mtu kakukandamiza na marimba...
 
Mmh!! mbona sioni kama wafanana na zile sandles za Yebo Yebo au kile kinywaji?

Nikajua ni twende kilioni...

No. Angekuwa hajaongeza rasta ingekuwa twende kilioni.
 
Mkunu wa kushona naona haufungwa gavana....

Kazi kwenu vijana....
 
uwiii we watu8 mbona hivo jamen. wanaume si mmeumbiwa mateso ama?
Huo msuko wa nywele waitwaje?

Maana hicho kichwa kikiegemeshwa kifuani na hiyo minywele si kuumizana jamani kama mtu kakukandamiza na marimba...
 
Last edited by a moderator:
ziliitwa hivyo kutokana na kusukwa sana na watu.......
Mmh!! mbona sioni kama wafanana na zile sandles za Yebo Yebo au kile kinywaji?

Nikajua ni twende kilioni...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…