Atakayeweza Swali Hili La "complex Number'' Adv Math

Atakayeweza Swali Hili La "complex Number'' Adv Math

Solve For Z If CosZ=2 where z = X+iY

Umesema solve for Z, any other simplifications wont matter sababu we unachotaka ni solution ya Z,
Code:
Z = Arccos(2)
ambayo jibu lake ni
Code:
undefined
simply because Cosine can only be from -1 to 1... Kama wengine walivyo-suggest I'm pretty sure hilo swali lilitakiwa liwe in hyperbolic form, hiyo Cos sio Cosine bali ni Cosh na still ungesema unataka solution gani in the end coz one might as well just give u the inverse kuliko kukaa na ku-expand katika Euler form yake.
 
Siamini hesabu hii imenishinda wakati naona kabisa ni simple. Miaka 9 kumbe inaweza sahaulisha hivi???
 
Duh wengi mmesahau sasa maswali kama haya yana wazingua je kutakuwa na kizazi cha mathematicians baafa ya cc kufa
 
Chukua hyo piga pale then toa ile gawanya kwa z put underoot then mcheki jirani kafanyaje
 
Back
Top Bottom