YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Ukitaka kugombea cheo chochote miaka ijayo anza kuchapa sana kazi sana sasa hivi na kuwa msafi kuanzia sasa hivi,yasije kukuta ya Lowasa ambaye Alitamani sana kuwa Raisi lakini eneo la kuwa msafi hakulitilia maanani alipokuwa madarakani ikala kwake.Jifunzeni kwa Lowasa.
Lowasa ni somo zuri sana.
Lowasa ni somo zuri sana.