BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Anakwenda kugegeda
asanteMiaka sita!!??
Hapo naona kama huyo bidada hakutaki ila anashindwa tu kukuambia.
Kama mlikubaliana aandike hiyo sijui ndio invitation(mnajua wenyew sijui nipo sahihi au vipi) kinachomshinda ni nini au ndio zinakwama.
Una uhakika bado anakupenda sio ujitie gharama na kupoteza muda ufike kule kumbe mwenzio hana hata time na wewe huko keshajiopolea mupenz mwingine.
Ila mimi naamini hapo hakuna mapenzi na ikichangia mpo mbali
Ni mawazo yangu tu hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Skia kijana mambo ya viza ni kuwa na doc zilizotimia za kukufanya wewe ukapata viza
Kama upo serious nicheki PM mbona nimeshasemaMe nipo hapahapa bongo ila naweza kukufanyia mchakato ukaenda fresh, vp hizo m3 utanipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa niliyosema hapa sidhani kama yanatosha kuleta tafakari hiyo, Hekima Ni kunisikiliza tu nilichosema kama huwezi kaa kimya kama Unaweza NisaidieSasa mtu ana uraia anashindwa VP kukupa mwaliko,mbona unakuwa kilaza hivi kugundua kuwa Demu anakukataa kijanja!?
Sent by Diaspora
Pole Mzee kama nakuona UnavyoumiaHello habari, Nina Changamoto inanisumbua. Nina Mtu wangu/Girlfriend yupo Norway Na tuna mpango Thabiti wa kuishi pamoja., Ila kwa bahati mbaya yeye bado hajatimiza baadhi ya masharti ya mimi kufika huko, Nina uhusiano nae kwa miaka zaidi ya 6 Ila kila siku changamoto kubwa imekuwa ni yeye kutokamilisha masharti ya kumtumia invitation mtu, Naomba kwa yeyote anayedhani ataweza kunisaidia mimi kufika Norway, just for 3 Month Anisaidie. Gharama Ya tiketi itakuwa juu yangu, Nikifika nitafikia moja kwa moja kwa mtu wangu, Pia Kama Shukrani nitatoa kiasi cha Mil 3 za Bongo. Kwa anaedhani anaweza kunifanikishia hilo naomba tuwasiliane PM. Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndivyo ilivyo. Miaka 6 mingi sanaMiaka sita!!??
Hapo naona kama huyo bidada hakutaki ila anashindwa tu kukuambia.
Kama mlikubaliana aandike hiyo sijui ndio invitation(mnajua wenyew sijui nipo sahihi au vipi) kinachomshinda ni nini au ndio zinakwama.
Una uhakika bado anakupenda sio ujitie gharama na kupoteza muda ufike kule kumbe mwenzio hana hata time na wewe huko keshajiopolea mupenz mwingine.
Ila mimi naamini hapo hakuna mapenzi na ikichangia mpo mbali
Ni mawazo yangu tu hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si uende ubalozi wa Norway uombe visa, tatizo nini?