Atakaenisaidia nifike Norway nitampa Tsh Mil 3

Atakaenisaidia nifike Norway nitampa Tsh Mil 3

Sijui chochote Mkuu ila mrembo kama anasoma Kyle kupitia scholarship ni rahisi kuomba visa kwamba mchumba akamtembelee kwa miezi mitatu au hadi sita. Inaweza ikarahisisha yeye kutia mguu Norway.

Msaidie mbinu basi BAK kama uzoefu unao.
 
anataka akamtie mimba tu huyo apate msalie mtume, we unafanya kazi kipato chako ni stable cha kukizi kwenda kule basi nenda ubalozini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Mimi ndio sinaga hisia za hivyo au ninashida kichwani mtuu akisha safiri hata mkoa moja zaidi ya mwezi sina imani nae
 
Huyu ana Mapenzi ya Mtandaoni ya zaidi ya Miaka Sita!
 
Miaka sita!!??
Hapo naona kama huyo bidada hakutaki ila anashindwa tu kukuambia.
Kama mlikubaliana aandike hiyo sijui ndio invitation(mnajua wenyew sijui nipo sahihi au vipi) kinachomshinda ni nini au ndio zinakwama.
Una uhakika bado anakupenda sio ujitie gharama na kupoteza muda ufike kule kumbe mwenzio hana hata time na wewe huko keshajiopolea mupenz mwingine.
Ila mimi naamini hapo hakuna mapenzi na ikichangia mpo mbali
Ni mawazo yangu tu hayo.

asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye na njia anaweza kunicheki PM

Sent using Jamii Forums mobile app
Skia kijana mambo ya viza ni kuwa na doc zilizotimia za kukufanya wewe ukapata viza
Hakuna ubalozi uliyokuwa strict kama wa norway hata wamarekani wanasubiri
Kwa norway anaye fanya mtu akapata viza kwa Kafaulu taratibu zao ni kitengo cha police huko (IDU)
Au issue nyingine hyo mke au dem wako hko amtafute mtu aliyesawa huko atumie Makaratasi yke kukusaidia wee
Ila kwa hapa utakutana na vishokaaa utaliwa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu ana uraia anashindwa VP kukupa mwaliko,mbona unakuwa kilaza hivi kugundua kuwa Demu anakukataa kijanja!?

Sent by Diaspora
Kwa niliyosema hapa sidhani kama yanatosha kuleta tafakari hiyo, Hekima Ni kunisikiliza tu nilichosema kama huwezi kaa kimya kama Unaweza Nisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello habari, Nina Changamoto inanisumbua. Nina Mtu wangu/Girlfriend yupo Norway Na tuna mpango Thabiti wa kuishi pamoja., Ila kwa bahati mbaya yeye bado hajatimiza baadhi ya masharti ya mimi kufika huko, Nina uhusiano nae kwa miaka zaidi ya 6 Ila kila siku changamoto kubwa imekuwa ni yeye kutokamilisha masharti ya kumtumia invitation mtu, Naomba kwa yeyote anayedhani ataweza kunisaidia mimi kufika Norway, just for 3 Month Anisaidie. Gharama Ya tiketi itakuwa juu yangu, Nikifika nitafikia moja kwa moja kwa mtu wangu, Pia Kama Shukrani nitatoa kiasi cha Mil 3 za Bongo. Kwa anaedhani anaweza kunifanikishia hilo naomba tuwasiliane PM. Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Mzee kama nakuona Unavyoumia
 
Miaka sita!!??
Hapo naona kama huyo bidada hakutaki ila anashindwa tu kukuambia.
Kama mlikubaliana aandike hiyo sijui ndio invitation(mnajua wenyew sijui nipo sahihi au vipi) kinachomshinda ni nini au ndio zinakwama.
Una uhakika bado anakupenda sio ujitie gharama na kupoteza muda ufike kule kumbe mwenzio hana hata time na wewe huko keshajiopolea mupenz mwingine.
Ila mimi naamini hapo hakuna mapenzi na ikichangia mpo mbali
Ni mawazo yangu tu hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndivyo ilivyo. Miaka 6 mingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom