Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Wote jiraniiš
Wote jiraniiš
Hakika jirani yangu wa siku zote..tunamshukuru Mungu wetu mwema kwa kila jambo,.
Amen! Nakuaminia kwenye swala la mapishi jiraniHakika jirani yangu wa siku zote..tunamshukuru Mungu wetu mwema kwa kila jambo,.
Hahahah hapa mwisho wa matatizo yoote ya mapishi jirani...wananiita B52 kubwa la maadui woiiišššš
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hatari sana. Naonaga mambo yako kwenye uzi flani hivi wa mapocho pochoHahahah hapa mwisho wa matatizo yoote ya mapishi jirani...wananiita B52 kubwa la maadui woiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke malezi bora,
Hapo umebakiza tu mwanamke umbea hahahahahahahahMwanamke malezi bora,
Mwanamke kupendeza,
Mwanamke pambo,
Mwanamke matunzo,
Mwanamke shepu,
Mwanamke usafi,
Mwanamke tabia,
Mwanamke kujiamini,
Mwanamke kukupenda,
Mwanamke kujidekeza/kujibebisha,
Mwanamke kujiheshimu,
Mwanamke kujitegemea,
Mwanamke sura,
Mwanamke kuji..................................,
NIMECHOKA BN NAWE UTAMALIZIA KUJAZA HAPO PALIPOBAKIA[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na huyo unaetaka kumuoa mtapata tabu sanaa,.
Hapo kwa sana nakubaliana nawe na nakataliana nawe sababu,
Acha kabisa...hahaha zile shughuli za kigogo uwe unanipa tenda jiraniiš[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hatari sana. Naonaga mambo yako kwenye uzi flani hivi wa mapocho pocho
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kitchen party bila vyombo..??Hebu funguka kidogo basi
Lugha zimegongana!Unataka kitchen party bila vyombo..??
PoleLugha zimegongana!
Hivi kumbe na ninyi ni wambeya?Hapo kwa sana nakubaliana nawe na nakataliana nawe sababu,
Umbeya ni sifa ya Binadamu yeyote lkn inategemea ni umbeya wa aina gani(+ au -).
Ktk umbeya - kwa asilimia kubwa sana Wanawake hamjambo lkn kwa umbeya + ni vise versa is true kwa sisi Wanaume[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba atajifunza kupika akishaolewa