Atajifunza akiwa ndani ya ndoa.

Atajifunza akiwa ndani ya ndoa.

Utamsemeaje hawezi??kuna mtu alizaliwa anaweza/anajua kila kitu??ndio maana kukawa na kitu "mafunzo" sasa kama hawezi tuu yaani yeye ni hawezii na hataki kuweza basi manzi ako ni "lazygirl" na hatoweza kamwe..
Okay
 
Mother confessor unajua ni nini, wadada wa aina hiyo wapo wengi tu. Na mwingine unakuta anajua alafu ana pretend tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekula kwako.
Kijana ukikutana na mwanamke hawezi kupika muache aendelee kupaka kucha rangi.
Huyo hata kufua hawezi
Hata kutandika hawezi.

Kuna watu hata wakiwa na housigeli Ni tabu tupu.
Yeye mwenyewe anakuwa mzigo aafu ndio uongeze na watoto, binti wa watu anapata tabu Sana.

Kuhusu kujifunza wewe unachukuliaje??
 
JF inachekesha sana...umeona ukimbie ile ID uliyojoin jana uje na hii ya zamani

Haya umeanza lini kunivutia pumzi?
Hahahaha [emoji23] Siku nyingi tuu huwa nakuweka kiporo ipo Siku yako lazima nikutafune mzee mama Ngoja nije chemba kdg tuongee boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom