Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Kupika ni continuous learning.Kwani kujifunza kupika inachukua miaka mingapi?
Kupika ni continuous learning.Kwani kujifunza kupika inachukua miaka mingapi?
OkayNaona sio sawa mdada anayefikiria ndoa ila hajui kupika
Ila kama kasema atajifunza..amini hivyo
sasa kwa nini huna heshima ?Heshima kitu cha bure mzee
Ndoa ina mambo mengi, ajifunze kwanza. Ukioa atatafuta house girl tu, mwanamke mzembe ni mzembe tu.Manzi anapenda kula mahanjumati ila kupika hawezi, na kama kupika atajifunza akiwa ndani ya ndoa.
Kiuhalisia imekaaje hii wadau??
Kwa nini chief??
Umejoin janaWewe, nataka nikufunge pingu.. nione Kama unaweza kupika
Asante kwa mchango wako chiefNdoa ina mambo mengi, ajifunze kwanza. Ukioa atatafuta house girl tu, mwanamke mzembe ni mzembe tu.
Barafu la moto
atajua mwenyewe kashanitibuaWataajiri mpishi.
Una maana ipi chief??Nyie kurupukeni tu vijana.
Mara ooh hata nikioa asie na akili tutatumia za kwangu chamsingi awe na chura tu.
Ndoa ni zaidi ya hayo vijana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano tabu kama zipi??Wewe na huyo unaetaka kumuoa mtapata tabu sanaa,.
Mchango wako umepokelewa miss
Oaneni mtazijua uzuri,.Mfano tabu kama zipi??
Mchango wako umepokelewa missKupika sio big issue anaweza kujifunza kupika hata ndani ya ndoa simu zipo zinasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una unachokifahamu kuhusu hilo ni vizuri uka-share, lengo ni kujengaOaneni mtazijua uzuri,.
Unajua sababu ya kumfanya asijue kupika nini,uvivu ama??Kama una unachokifahamu kuhusu hilo ni vizuri uka-share, lengo ni kujenga