PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Manzi anapenda kula mahanjumati ila kupika hawezi, na kama kupika atajifunza akiwa ndani ya ndoa.
Kiuhalisia imekaaje hii wadau??
Kiuhalisia imekaaje hii wadau??
Acha izo joanahKiuhalisia ni kama alivyosema...atajifunza ndani ya ndoa
Zipi hizo Hazchem plate?Acha izo joanah
We ulisomea hapo??veta wanafundisha mapishi kijana
Wewe kama msichana unaonaje?Kiuhalisia ni kama alivyosema...atajifunza ndani ya ndoa
Kwamba kama hajajifunza kwa mama yake hata dada zake na sehemu zote alizokulia aje kujifunza kwenye ndoa?Zipi hizo Hazchem plate?
Kiuhalisia ni kama alivyosema...atajifunza ndani ya ndoa
Wewe kama msichana unaonaje?
Naona sio sawa mdada anayefikiria ndoa ila hajui kupikaWewe kama msichana unaonaje?
Kwamba hatoweza kupika au??Kama hajafunzwa na mama ake ndo basi tena
Kwani kujifunza kupika inachukua miaka mingapi?Kwamba kama hajajifunza kwa mama yake hata dada zake na sehemu zote alizokulia aje kujifunza kwenye ndoa?
nilimpeleka mamaakoWe ulisomea hapo??
Wataajiri mpishi.veta wanafundisha mapishi kijana
Yupi?Huyu manzi namvutia pumzi
Heshima kitu cha bure mzeenilimpeleka mamaako