Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,719
- 98,896
Haya mzee babaNo live kabsaa sasa utaanzaje kuninyima?? Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mzee mama we subir tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Em nijipange kwa hiyo siku ya kuliwa
Haya mzee babaNo live kabsaa sasa utaanzaje kuninyima?? Hakuna mkate mgumu mbele ya chai mzee mama we subir tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena mzee mamaHaya mzee baba
Em nijipange kwa hiyo siku ya kuliwa
Hapo umenena mzee mama
Kula ushibe kunywa maji mengi moyo uelee Siku hiyo utaoga kwa jasho
Ila nisikutishe show itachukua muda mrefu kdg mzee mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope mzee mama sitaki kukuumiza matatu yanakutoshaAcha kunitisha basi mzee baba
Muda mrefu kama masaa mangapi hivi?
Pole sana mzeee...kiufupi unaingia choo cha kikee cha kijeshiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manzi anapenda kula mahanjumati ila kupika hawezi, na kama kupika atajifunza akiwa ndani ya ndoa.
Kiuhalisia imekaaje hii wadau??
Sasa hao jirani ndio wale walioitwa "wanawake wapumbavu" ambao hubomoa nyumba zao kwa mikono yao wenyewe...Mother confessor unajua ni nini, wadada wa aina hiyo wapo wengi tu. Na mwingine unakuta anajua alafu ana pretend tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Process za kupika na kujifunza zinaanza mtu akiwa mdogo.Kuhusu kujifunza wewe unachukuliaje??
Wewe na huyo unaetaka kumuoa mtapata tabu sanaa,.
Kwamba, mwendo wa kukwepa ndege na mahovyo hovyo ya hapa na pale... Kwahiyo kujifunza haiwezekani chief??Pole sana mzeee...kiufupi unaingia choo cha kikee cha kijeshiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanii hilo sahau... Atakwambia mtafutr mfanyakazii..!! Kama saa hizi umeshindwa kumfanya ajifunze unadhani ukimuoaa utaweza???[emoji23][emoji23][emoji23] Mwanamke hajui kupika ni mzigoo aiseeee... Kuwa na mwanamke anajua kupika rahaa snaaa... wife akipika chapatii...dagaa kama nyamaa..[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Kwamba, mwendo wa kukwepa ndege na mahovyo hovyo ya hapa na pale... Kwahiyo kujifunza haiwezekani chief??
Asante kwa mchango wako chiefMwanamke akishakuwa na uhakika wa cheti Yale yote aliyoyaahidi huwa anafanya kinyumenyume.!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu jirani. Waswahili wanasema samaki mkunje angali mbichi.Sasa hao jirani ndio wale walioitwa "wanawake wapumbavu" ambao hubomoa nyumba zao kwa mikono yao wenyewe...
Naam jiranii...
Kuna wazazi ambao hawataki watoto wao waguse kazi yoyote zaidi ya kusoma tu, haya ndio matokeo yake. Jirani mzima lakini? Kitambo sanaNaam jiranii...
Hao wazazi wa dotcom bwanaa...jirani kwema kabisaa,sijui wewe?tumepoteana aiseeKuna wazazi ambao hawataki watoto wao waguse kazi yoyote zaidi ya kusoma tu, haya ndio matokeo yake. Jirani mzima lakini? Kitambo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi au wewe ndugu yanguHao wazazi wa dotcom bwanaa...jirani kwema kabisaa,sijui wewe?tumepoteana aisee