Ataisikia harusi ya merehem bibi wa bibi yake

Ataisikia harusi ya merehem bibi wa bibi yake

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1888571_464327633666866_2103371531_n.jpg
 
Haahhahaaha babu wa kimanga kapata mtoto mdogo wacha nimwambie mabrouk🙂🙂🙂🙂🙂
 
Ngekewa Umesahau na bokoboko na shurba...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
In the next five years huyo mdada atajakuwa cha wote kwani mzee gari atapaki kwa kuwa halitoweza mwendo tena!
 
Ngekewa Umesahau na bokoboko na shurba...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Dadaangu hivyo vyakula viwili kwa Waarabu ni sawa na Pilau ilivyokuwa kule kwetu kipindi cha zamani. Bokoboko ni kwa shughuli maalu na shurba special kwa Ramadhani.
Wanapenda kununua vyakula na kikubwa ni Kapsa na Mandi. Mandi ni gharama kidogo hivyo huliwa sana na wenye kipato.
 
Bodi limechakaa ila huwezi jua injini ikoje...
 
Wote wanaonyesha hawana furaha na ndoa yao, kama wamelazimishwa
 
Farkhina
Nimesahau kukuambia mapishi ya nyama, nilipika lakini ndio hivyo tena kwenye mlo nilikusahau, samahani, leo ndio ninakumbuka baada ya kukuona

Hahahaha babu weeee ubaya huo...vipi ilikua tamu?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom