Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Bado hajafa tu? lete updates za kisa hiki cha Globalpublishers dot com.
Inategemea yeye ni wa dini gani... NB: NO STRINGS ATTACHEDsio vizuri kulipiza kisasi, wacha Mungu ammalize mwenyewe.....kemea hilo pepo la kuua
MMU burudani sana maana kuna hadi waandika script za filamu...
Kwa jinsi ulivyo tiririka, kazi zinazohusu upelelezi/usalama/ulinzi n.k zinakufaa sana. Hivyo kama bado hujajiunga jaribu pia huko ukaongeze nguvu.