Atafia mikononi mwangu

Atafia mikononi mwangu

Na unafikiri kumuua huyu kutaua huo mtandao wa madawa?
Madawa ni janga ila kumuua huyu si dawa ya kutokomeza janga hili.
Akimuua huyu hatopata amani kamwe!!!

kutapunguza mmoja wa wauaji na wasambazaji wenye capital

kuacha haisaidii

ndio maana kwenye vita hata ukiua adui mmoja ni bora kuliko kusema hata nikiua mmoja vita haiishi

hivi mnadhani vita na madawa ya kulevya ni sawa na vita vya ndezi eh?

Dr. kama hujamwondoa huyo jamaa ntakushangaa sana

huyo anaua kwa maalfu - anasababisha watoto kuzaliwa na ulemavu wa kudumu, watu kufungwa au hata kuuawa kwa kuiba ili wapate stimu, anaua kwa mikono yake wale waliokataa kuendelea kufanya biashara ya madawa, ni shetani zaidi ya shetani

Mtwange adrenaline aishie aisee, usimuendekeze
 
Na unafikiri kumuua huyu kutaua huo mtandao wa madawa?
Madawa ni janga ila kumuua huyu si dawa ya kutokomeza janga hili.
Akimuua huyu hatopata amani kamwe!!!
Ni kweli mkuu hatopata amani ukute hata huyo aliyemuona si mmiliki nae hakutaka kuua lkn angefanyaje maana ilikua either aue au auwawe si unajua mambo ya mtandao ya hiyo kitu. Nijuavyo mimi huwezi kumjua mmiliki kwani dili zote hufanywa na middle man. Kamwe mmiliki huwa haonani na wasambazaji , sasa kwa usiri huo huenda anaoona wako safi huenda ni washiriki wakubwa wa hiyo miradi kwani umdhaniaye siye ndiye.
 
Binafsi sidhani kama uzi/thread hii ina ukweli.

Jina lako: Kama walivyo watumiaji wengi wa JF(nami pia nikiwepo) hawapendi kutumia majina yao halisi. Pengine ni kutotaka kujulikana au kwa sababu nyinginezo. Hivyo basi utumiaji wa jina hilo ni wazi hukutaka kujulikana.

Sasa, kwa kusema details mfano.
- Wewe ni daktari.
- Asili/Mzaliwa wa Kanda ya ziwa.
- Ulisoma sehemu fulani(Mtwara).
- Masomo ya udaktari yakafanyikia Dar Es Salaam.
- Muda ukiokaa kazini(Miaka miwili).
-Unapofanyia kazi(Hospitali 'kubwa' hapa Dar es Salaam.)
-Uashiria kwamba wewe ulikuwa daktari wa zamu.
-Kielelezo wazi aina ya mgonjwa uliyenaye.(Mwenye Shinikizo la damu).

Hivi vyote vinaweza kuharibu identity yako, hivyo kwangu mimi ninafikiria hii ni kutaka kumvurugia kazi/jina mtu(kwani kupitia connected dots tunaweza kusema wewe ni fulani) na pengine kushtakiwa kwa kosa la kuua/kukusudia kuua..vinginevyo ni kisa
ambacho sijaelewa fundisho lake.
 
Mimi ni Daktari wa hospitali moja kubwa binafsi hapa Dar es salaam mzaliwa wa kanda ya ziwa na huu ni mwaka wangu wa pili kazini. Nilikua na rafiki yangu sana ambae sasa ni marehemu. Huyu rafiki yangu tulipendana sana kwa vile tulikua majirani na hata wazazi wetu walikua marafiki pia. Tulisoma wote shule ya msingi hadi A level mkoani Mtwara.

Baada ya kumaliza kidato cha sita sote tulifaulu vizuri na kubahatika kujiunga na masomo ya elimu ya juu hapa hapa Dar kusomea udaktari. Tukiwa mwaka wa kwanza rafiki yangu alibadilika sana na alinishtua sana aliponiambia kua ameamua kuhairisha masomo amepata kazi kwenye kampuni ya kuuza magari. Nilimshauri na kumsihi aendelee na masomo lakini hakubadilisha uamuzi wake.

Alianza kusafiri sana nje ya nchi, mara Afrika kusini, India, China, Brazil, Marekani n.k. Nilienda kuishi nae kwake baada ya kupanga nyumba nzima. Alinipeleka chuo kwa gari lake na kunirejesha kila alipopata nafasi. Niliishi maisha mazuri kiasi ingawa ilikua siri nyumbani hawakujua kama rafiki yangu alisitisha masomo. Skuwahi kupajua anapofanya kazi, kila nilipomwambia anipeleke hakukubali.

Sku moja usiku wa manane nikiwa mezani najisomea na yeye akiwa chumbani kwake alipigiwa sim na mtu ambae walijibizana sana huku kaka akisistiza kua amechoka kusafirisha dawa za kulevya anaacha. Niliogopa sana, niliondoka taratibu na kwenda kulala chumbani kwangu ili asigundue kua namsikiliza. Skupata usingizi kabisa. Asbuhi alionekana mwenye mawazo na hasira nyingi tofauti na siku zote. Nilimuuliza kulikoni akanambia ana mgogoro na bosi wake, nilmuuliza kwani huyo bosi anaishi hapa nchini akasema ndio na kunionesha picha yake kwenye sim.

Kama kawaida alinipeleka hadi chuo, aliponishusha na kuondoka nikachkua taksi na kuanza kulifuata gari lake kwa nyuma, Nilidhamiria kupajua anapofanyia hizo kazi zake. Sku hiyo ndio siku niliposhuhudia rafki yangu akipigwa risasi na mtu aliyekua amepakizwa kwenye pikipiki (Ni yule nilooneshwa na rafki yangu kwenye picha), na kufariki hapohapo. Baada ya kifo cha rafiki yangu yalitokea mambo mengi sana ikiwa ni pamoja na mimi kuachishwa masomo kutokana na kua sehemu ya washukiwa, kuparaganyika kwa familia zetu n.k.

Usiku wa kuamkia leo hapa hospitalin ameletwa mtu yuleyule aliyemuua rafiki yangu na kusababisha misukosuko mingi katika maisha yangu akiwa hoi kwa presha ya kupnda. Sijawahi kufikiria kuua katika maisha yangu ila kwa sasa dhamira inanituma nimchome sindano ya sumu, nimtundike dripu ya glucose, nimuoverdose au ninyonge kabisa.

nyc story i must say, thougj sad. oukay, mtu hafi kwa dripu ya glucose mkuu,, if u want it clean mpe insulin 50iu directly iv, hata forensics hawaisomi hiyo. but again, its just a story right? na sindano ya sumu ndo ipi? just curious
 
Amekupatisha tabu maishani na ukimuua ataendelea kukupatisha tabu when he is dead. Let it go... mlilie Mungu, ending his life will not cause u any happiness
 
Hakuna kisasi kizuri kama kumsaidia adui wako halafu akajua kuwa ni wewe yule aliyekutendea mabaya.Mtibu na hakikisha anakuwa na afya nzuri,halafu mwisho wa siku mwambie kuwa wewe ni ndugu wa yule aliyemuua,hiyo inatosha kabisa kumfanya ajute maishani mwake kote
 
Binafsi sidhani kama uzi/thread hii ina ukweli.

Jina lako: Kama walivyo watumiaji wengi wa JF(nami pia nikiwepo) hawapendi kutumia majina yao halisi. Pengine ni kutotaka kujulikana au kwa sababu nyinginezo. Hivyo basi utumiaji wa jina hilo ni wazi hukutaka kujulikana.

Sasa, kwa kusema details mfano.
- Wewe ni daktari.
- Asili/Mzaliwa wa Kanda ya ziwa.
- Ulisoma sehemu fulani(Mtwara).
- Masomo ya udaktari yakafanyikia Dar Es Salaam.
- Muda ukiokaa kazini(Miaka miwili).
-Unapofanyia kazi(Hospitali 'kubwa' hapa Dar es Salaam.)
-Uashiria kwamba wewe ulikuwa daktari wa zamu.
-Kielelezo wazi aina ya mgonjwa uliyenaye.(Mwenye Shinikizo la damu).

Hivi vyote vinaweza kuharibu identity yako, hivyo kwangu mimi ninafikiria hii ni kutaka kumvurugia kazi/jina mtu(kwani kupitia connected dots tunaweza kusema wewe ni fulani) na pengine kushtakiwa kwa kosa la kuua/kukusudia kuua..vinginevyo ni kisa
ambacho sijaelewa fundisho lake.

Kwa jinsi ulivyo tiririka, kazi zinazohusu upelelezi/usalama/ulinzi n.k zinakufaa sana. Hivyo kama bado hujajiunga jaribu pia huko ukaongeze nguvu.
 
Ni kweli mkuu hatopata amani ukute hata huyo aliyemuona si mmiliki nae hakutaka kuua lkn angefanyaje maana ilikua either aue au auwawe si unajua mambo ya mtandao ya hiyo kitu. Nijuavyo mimi huwezi kumjua mmiliki kwani dili zote hufanywa na middle man. Kamwe mmiliki huwa haonani na wasambazaji , sasa kwa usiri huo huenda anaoona wako safi huenda ni washiriki wakubwa wa hiyo miradi kwani umdhaniaye siye ndiye.

Sina cha kuongeza mkuu!!
 
Hakuna kisasi kizuri kama kumsaidia adui wako halafu akajua kuwa ni wewe yule aliyekutendea mabaya.Mtibu na hakikisha anakuwa na afya nzuri,halafu mwisho wa siku mwambie kuwa wewe ni ndugu wa yule aliyemuua,hiyo inatosha kabisa kumfanya ajute maishani mwake kote

Naunga mkono hoja hii,ndo maana kuna msemo unasema ombea adui yako aishi miaka ming ili utakopobarikiwa ajionee kwa macho. Kisasi ni kazi ya Mungu si kazi ya mwanadamu.
 
MMU burudani sana maana kuna hadi waandika script za filamu...
 
Wangu stori nzuri wapelekee bongo muvi uuze aidia hiyo sio unatupia 2jf
 
Mungu ana maksudi ndo maana huyo mgonjwa kaletwa hapo kwa vile ana pressure ukithubutu kumwambia kwamba aliua ujue nawe siku zako zinahesabika watu wengine wanafanana unaweza kukuta siyo yeye kama una uhakika ni yeye nakushauri muondoe duniani mungu ataku kakuletea kitoga hicho! Mm kuna watu walimua baba kinyama na kuisabishia familia yetu mparaganyiko kabisa siku nikiwakamata wajue nao bye bye
 
Back
Top Bottom