At your own risk

i lost my mama nilipokua na miaka minne...sometime unawish angekua around kiukweli.
 
kabisa,she is my everything mungu ampe maisha marefu sana
 
Baba yangu mwaka watatu huu ananiumaa like kaondoka dakika hii wacha kabsaa mzazi ni mzazi anauma sana ,, Mungu amuweke mama yangu
..rip my dad.
 

Pole sana mwana,mungu ampe maisha marefu mom wangu
 
kabisa,she is my everything mungu ampe maisha marefu sana

we acha tu siku zote nasema siku nikiolewa mme hata asiponipenda kiviile ila ampende amthamin mama yangu na mm mama yake
 
Reactions: lin
sijaelewa title tafadhari , " at your own risk" how?
 

Hakuna atakayeishi milele, kufa kupo usiwafanye watu wamkufuru Mungu. Kama mtu hana mama hana tu kuwa na huzuni na uchungu hakumsaidii chochote usiwaletee watu mawazo ya kujihurumia na kuwarudisha nyuma. Nasema songa mbele, Mungu anayekutunza toka tumboni hajafa.
 
RIP my mama, nilikupenda ila Mungu alikupenda zaidi alikuchukua kwa wakati ambao ndio nilihitaji ushauri na msaada wako katika maisha haya, all in all nakupenda na nitakupenda daima tangu umeondoa duniani sijawahi kuona mwingine kama wewe, wewe ni mama na utabaki kuwa mama yangu daima
 
sijaelewa title tafadhari , " at your own risk" how?

kakupa tahadhari mapema kuwa ukiamua kuendelea kusoma uwe tayari kwa lolote,mfano flash back ya machungu
 
we acha tu siku zote nasema siku nikiolewa mme hata asiponipenda kiviile ila ampende amthamin mama yangu na mm mama yake

ni kumshukuru Mungu..dunia hii ni tambara bovu. wapo wamama nanaotembea na waume wa bint zao lakin pia wapo mama mkwe ambao anaweza hata akakufungashia virago uachane na mwanae... maishani lolote laweza kukutokea. tuombe Mungu atuhurumie
 
asante..
its very true, i have noticed something, nikiwa nahudhuria harus or send-off parties, huwaga nataman kulia coz kuna point wanamtaja mama na wanaona how happy their mama r kuona mwana ako stage flan ya maisha, honestly machoz hunitokaga na nakua sitamani kuolewa kwa harusi or do send-off parties, my mom passed away 12 yrs ago but duh, cant get over the pain!
 

Excuse you?!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…