At the Age 27 but no boyfriend

At the Age 27 but no boyfriend

mkuu sipendi dharau, tusifikie huko kwenye kupeana makavu.
Ujue kila mtu ni kichaa lakn usipende kuibua kichaa cha mtu kikiwa kimetulia.. Kikiibuka hicho kichaa kitakachofuata hapa ni Ban !
Ohoo! My friend take care u i'll suffer the quencequence

Lishakubali yaishe.
 
Last edited by a moderator:
Yeye ndio ana majibu kihusu maamuzi ya maisha yake.
 
Hamna cha ajabu mi Niko fifty sina hata mpango wa boyfriend kaamua tu na maisha yake
 
Kwani mkuu kuna kosa gani mtu kuamua kuwa single??......mimi naamini ni suala la maamuzi tu.....kama wewe ulivyoamua kutembeza dushe kwa wadada ndivyo na yeye alivyoamua kukitunza kitumbua chake kisiingie mchanga.....CHA MSINGI NI KUWA UKICHUNGUZA YA WATU UTACHELEWA KUFANYA YAKO...........SO MIND YOUR BUSSNESS....

umenena mkuu
 
Kwanza wewe una hakika gani yupo single??maana inawezekana ni muaminifu na hapendi matangazo wewe ukamdefine kinyume...
 
Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na wengine wameolewa.

Huwezi kumuona anajishughulisha na wanaume.

Yaani hana muda kabisa ingawa anajichanganya vizuri na watu.

Nini inaweza kuwa sababu?

Huenda still anatafuta,or ni biological problems
 
Kwanza wewe una hakika gani yupo single??maana inawezekana ni muaminifu na hapendi matangazo wewe ukamdefine kinyume...

Si rahisi kificha mapenzi kwa watu unaoishi nao. Itajulikana tu.
 
Mkuu umekariri wewe.. Actually huyo binti anajitambua kama wanavyojitambua wengine.. Amejiamulia kuishi hivyo kama walivyojiamulia wengine kuishi maisha wanayoishi.. Haimaanishi kwamba ana matatizo au ana mapungufu..

Ni kweli usemayo nimekukubali
 
Ni mtoto kapata malezi yanayo stahili - ngono ni baada ya kufunga ndoa huo ndio msimamo wake, yakianza ya boyfriend mwisho ni kitandani tu
 
Ni mtoto kapata malezi yanayo stahili - ngono ni baada ya kufunga ndoa huo ndio msimamo wake, yakianza ya boyfriend mwisho ni kitandani tu

Kama ni hilo tunamuombea sana.
 
Back
Top Bottom