At the Age 27 but no boyfriend

At the Age 27 but no boyfriend

safie anamtunzia prince charming wake ataemuoa badae.... sio kukitembeza ka ice cream za azam!!!
 
Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na wengine wameolewa.

Huwezi kumuona anajishughulisha na wanaume.

Yaani hana muda kabisa ingawa anajichanganya vizuri na watu.

Nini inaweza kuwa sababu?

Umejuaje hana bf? sio wote wanapenda matangazo. Huyo ana maadili na anafanya mambo yake kwa siri hadi hapo itakapolazimika kuyaanika hadharani
 
jamaa kumapproach demu akakukataa sio vizuri kuanza kumzushia mambo mabaya mbona huyo dada yupo kamili tu
 
Mmmmmmn Mie memuuliza tu,na hayo ndo maswali mimi nimemuuliza kutokana na uzi wake sio kwa ubaya teh teh
Hajasema kinamuuma jamani na wala hajaonekana kumshambulia ila anashangaa
 
Mmmmmmn Mie memuuliza tu,na hayo ndo maswali mimi nimemuuliza kutokana na uzi wake sio kwa ubaya teh teh

Hata mimi najua si kwa ubaya ila ni njema mtu uulize maswali yatokanayo na kile alichoongea
 
Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na wengine wameolewa.

Huwezi kumuona anajishughulisha na wanaume.

Yaani hana muda kabisa ingawa anajichanganya vizuri na watu.

Nini inaweza kuwa sababu?

so amekwambia umuulizie huku kama wapo..! au.?
 
Amechagua kuwa mjinga kwa mambo ya dunia hii yapitayo...ni kitu cha kushangaza kwa watu wa dunia hii...ila kwa mcha MUNGU ni jambo la kawaida sana..watu wako 30 na wameyashinda itakuwa 27....
 
Mkuu hum ndani tumejaa wazinzi hii kauli yako ngum sana kumesa
 
Nashukuru kwa maoni yenu. Mi nimeuliza si kwa nia mbaya. kwasababu si kitu cha kawaida kwa wasichana wa siku hizi. Mi nimemjua toka zamani kabla ya umri wa kuvunja ungo. Kwahiyo nilitaka kujua kama ni hali ya kawaida kwasababu nimeona wasichana wengi au kwa maana nyingine wasichana ninaowajua wote hiki kiunzi hawajakiweza.
 
ila wamekupa za uso! Mpaka umekuwa mpoleee! Jf si mchezo wakikuamulia wanakuamulia kweli
 
Uanuhakika gani kua hana boyfriend?
Nawapi kumeandikwa nilazima awe na boyfriend?
Nayeye kutokuwa na Boyfriend kinachokuuma kipi?
Na kwanini unataka ujue sababu kwanini yeye hana boyfriend?

Boyfriend anae ila sio lazima umjue

Hakuna liniumalo. Si kawaida kwa nyakati hizi.
 
Atakuwa hajawah kuonja so anaogopa bado

Labda kwasababu sijawahi ona akishughulisha na wanaume. Hata mawasiliano ambayo huwa unona wasichana wengi wanawasiliana na wavulana. Hii ni pamoja na ndugu zake wa karibu wa kike wanashangaa.
 
Atakuwa ni bikra bado au km sio alishawah kusex hakufarahia kabisa so ameona haina haja
 
Back
Top Bottom