Zawadi gani umeniandalia bby
Atakuwa ni bikra bado au km sio alishawah kusex hakufarahia kabisa so ameona haina haja
Wewe ndo hujitambui na hujielewi.
Kuna wengine wana 18 ila wameshapenyezewa vya kutosha na wengine wana 30 kitu tight.
Acha mawazo potofu wewe au hata wewe ni ndugu yake kamerun
na ni kweli humu ndan wazinz wengi mno.
Wengne tumepangishwa folen balaa...
Wewe ndo hujitambui na hujielewi.
Kuna wengine wana 18 ila wameshapenyezewa vya kutosha na wengine wana 30 kitu tight.
may be she has got a 12 inch dildo my dear..Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na wengine wameolewa.
Huwezi kumuona anajishughulisha na wanaume.
Yaani hana muda kabisa ingawa anajichanganya vizuri na watu.
Nini inaweza kuwa sababu?
Uanuhakika gani kua hana boyfriend?
Nawapi kumeandikwa nilazima awe na boyfriend?
Nayeye kutokuwa na Boyfriend kinachokuuma kipi?
Na kwanini unataka ujue sababu kwanini yeye hana boyfriend?
Boyfriend anae ila sio lazima umjue
Hata mimi najua si kwa ubaya ila ni njema mtu uulize maswali yatokanayo na kile alichoongea
Hakuna liniumalo. Si kawaida kwa nyakati hizi.
Mkuu hum ndani tumejaa wazinzi hii kauli yako ngum sana kumesa