At the Age 27 but no boyfriend

At the Age 27 but no boyfriend

na ni kweli humu ndan wazinz wengi mno.
Wengne tumepangishwa folen balaa...

Mbona ulikuwa unashangaa sasa kama na wewe mzinzj. mi nilifikiri nawe wa hivo!
 
mwache! ukute alishawah umizwa nyie hamjui! au kaona hiyo ni njia sahihi kwake..! beside she z right..!
is she complaining?

Halalamiki ila ndugu zake ndo wanamuuliza ana mpango gani. Inawezekana baadae anaweza regret kwasababu ya kutokuwa na mtoto.
 
kiukweli, ni azma yake kua au kutokua na BF ila km ni mwanamke Graduate ni kua na BF akiwa mwaka wa 2 chuoni la sivyo anaweza kupata dungadunga hapo baadae
 
Mbona ulikuwa unashangaa sasa kama na wewe mzinzj. mi nilifikiri nawe wa hivo!

mm kuwa mzinzi haimaanishi kuwa naww pia ni mzinzi...
Au haitanishangaza kuona ww hujihusishi na uzinzi.
 
kiukweli, ni azma yake kua au kutokua na BF ila km ni mwanamke Graduate ni kua na BF akiwa mwaka wa 2 chuoni la sivyo anaweza kupata dungadunga hapo baadae

Ana miaka zaidi ya 2 lakini hana.
 
sawa mama. nimekuelewa.

mkuu sipendi dharau, tusifikie huko kwenye kupeana makavu.
Ujue kila mtu ni kichaa lakn usipende kuibua kichaa cha mtu kikiwa kimetulia.. Kikiibuka hicho kichaa kitakachofuata hapa ni Ban !
Ohoo! My friend take care u i'll suffer the quencequence
 
Last edited by a moderator:
Inawezekanaje binti graduate at the age of 27 hana boyfriend? Kuna binti mmoja graduate hana boyfriend wala mchumba. inakuwaje ? Yeye social sana na marafiki zake wote wana boyfriends, wachumba na wengine wameolewa.

Huwezi kumuona anajishughulisha na wanaume.

Yaani hana muda kabisa ingawa anajichanganya vizuri na watu.

Nini inaweza kuwa sababu?

hopely atakua sild tu maana kama angeonja lazima angenogewa tena na tena
 
Nyasi nyeusi? Mbona mi sijawahi kuziona?

ngoja ntakuja kukuonesha... Nzur kweli ile garden ina upepo mwanana unaotoka kwenye mto jordan huo mto una maji chumvi..
 
Back
Top Bottom