At least naonaga posts za wazungu huko X hata kama ni consipracy ila ina mashiko, ila humu mtu ana post vitu kuntu ukimchallenge kidg anaishia kukutus

Ukiwa challenged haimanishi mtu amedharau tafakuri yako, lakini namna unavyo react ndivyo inavyo prove ukomavu wa fikra yako.
Kama mtu anakutukana wewe binafsi badala ya kujibu hoja, jibu tu kwamba hapa umefanya ad hominem logical fallacy, umemshambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja.

Akirudia tena, mwambie tu wewe hujafikisha viwango vya kufanya majibizano ya hoja na mimi, unafanya ad hominem logical fallacy.

Mpeleke ignore list ujibizane na watu waliofikisha viwango.

I do that almost weekly. Jana tu nimemuongeza mtu ignore list kwa sababu hii hii.

Unaondoa majibizano mengi ya ujinga na kutukanana tu.

Hutakiwi kujibizana na mtu ambaye anatumia ad hominem logical fallacy, wakati wewe unataka majibizano ya hoja.
 
Kama mtu anakutukana wewe binafsi badala ya kujibu hoja, jibu tu kwamba hapa umefanya ad hominem logical fallacy, umemshambukia mtoa hoja badala ya kujibu hoja.

Akirudia tena, mwambie tu wewe hujafikisha viwango vya kufanya majibizano ya hoja na mimi, unafanya ad hominem logical fallacy.

Mpeleke ignore list ujibizane na watu waliofikisha viwango.

I do that almost weekly. Jana tu nimemuongeza mtu ignore list kwa sababu hii hii.

Unaondoa majibizano mengi ya ujinga na kutukanana tu.

Hutakiwi kujibizana na ntu ambaye anatumia ad hominem logical fallacy, wakati weee unataka majibizano ya hoja.
🔨🔨📍
 
Mkuu,
nadhani ignore list yako itakuwa na raia wengi sana.
 
hatari sana
Halafu watu wengine hawaelewi ignore list maana yake nini, wanauliza uki ni ignore nitakosa nini?

It is not about you, it is protecting me against wasting my time arguing pointless things with stupid stubborn people.

You think I have time to argue with every fool that comes up here?

I don't have time for that, one has to meet certain standards to even have the privilege of engaging me.

Kama hujafikisha viwango vya kujua hii hapa ni ad hominem logical fallacy, sitakiwi kumshambulia mtu, natakiwa kujibu hoja, kwa nini nijihangaishe kujibizana nawe?
 
Kama mtu anakutukana wewe binafsi badala ya kujibu hoja, jibu tu kwamba hapa umefanya ad hominem logical fallacy, umemshambukia mtoa hoja badala ya kujibu hoja.

Akirudia tena, mwambie tu wewe hujafikisha viwango vya kufanya majibizano ya hoja na mimi, unafanya ad hominem logical fallacy.

Mpeleke ignore list ujibizane na watu waliofikisha viwango.

I do that almost weekly. Jana tu nimemuongeza mtu ignore list kwa sababu hii hii.

Unaondoa majibizano mengi ya ujinga na kutukanana tu.

Hutakiwi kujibizana na ntu ambaye anatumia ad hominem logical fallacy, wakati weee unataka majibizano ya hoja.
😂😂😂😂😂

dosho12
mcTobby
Red black

Kula darasa hilo
 
Back
Top Bottom