At last Mama Aisha Bilal atabasamu

At last Mama Aisha Bilal atabasamu

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
898
baada ya miaka 6 na ushee mama Aisha Bilal jana for the first time ametabasamu in public

hongera mama

sasa hiyo NGO yako iko wapi?

Picture+002.jpg
 
sio huyo aneyanunaga bana,ni yule mweupe lol

Anayenuna ni huyu. Yule white full kusmile na ni charming. Huyu mmmh!!! Hapa sijui ilikuwaje aka smile mi mwenyewe nimeshangaa.
 
Bas mie nishajichanganya sijui yupi ndio yupi kati ya hao

lakininajua mmoja yuko serious 24/7
 
Yule mweupe ndo ana nunaga..hana ucharming wowote..mwanamke kavimba shavu kama paka wa muhimbili,lol..namuonaga sana huku mikocheni sijui ana issue gani

Hebu ukimuona tena mchunguze anaendaga wapi. Au na yeye anakwenda sawa na mzee japo kwa siri?
 
Zamani demu kuwa na mwanya ni sehemu ya urembo sijui sasa hivi ni vipi?
 
Back
Top Bottom