Hivi bado kuna watu wanaisoma gazeti la Uhuru! Duh ni la kupuuza
Huyu mama anaweweseka mchana baada kukosa nafasi kugombea ubunge! Escrow wamegawana yeye akiishia kutetea ule wizi, Leo imemkosesha ubunge! Lazima alie na JK! Njaa weee akumbukwe kwenye DC
ivi marehemu Balali yupo ?
we Tanzanians miss him
lol
huyu mama naona hata uchungaji amesha uacha na jinsi anavyofanya majukwaani sijui anawambia nini waumini wake!
Maana Neno la Mungu linasema -USIHUKUMU USIJE UKAHUKUMIWA -
ajitafakari sana na huduma anayotoa kwa kondoo za Bwana. Mwisho wa siku ajue kuna maisha nje ya siasa.