Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,023
- 828,796
Kuoga huwa ni jioni umeshinda kazini au kwenye mizunguko ya kila siku, vumbi mambo na takataka nyingine zote zimegandamana mwilini mwako
Jioni ndio huwa Wakati muafaka wa kupata muda wa kutosha kuuswafi mwili ili uondoe jasho vumbi na uchafu wowote wa mchana kutwa ili ulale njema
Asubuhi ni kujimwagia tu maji kutoa uchovu na mavune ya usiku lakini si kutoa uchafu, unaoga nususaa nzima asubuhi kwani usiku ulikuwa unafanya nini???