Asubuhi hatuogi

Asubuhi hatuogi

Hapo ipo dalili kuna la ziada ila pia watu wengine wanatumia maji kupunguza stress
 
Kama mtu kapita chochoro katongoza kisha katoswa akiweza kupata maji akaoga inampunguzia machungu......kutoswa noma
 
Duuuuu!mi naoga mara tatu kwa siku na zote najiswafi ile ya uhakika,kujimwagia maji tu labda wanaume kwa mtt wa kike hyo hamna

kwenu ninyi kuoga ni kawaida! hata nanasikirikuu analitambua!

binti msafi ndio kimbilio langu..!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom