Cryptomaniac
Member
- Nov 8, 2015
- 16
- 11
Habari za leo wadau..
Naomba kuuliza kama kuna ambaye anaweza au amewahi kuweza kupata Transponder ya Astra 2E (28.2 degrees east) kwenye dish lolote. Kama amewahi anaweza kunijulisha ni dish gani alilotumia au ni ukubwa upi na LNB ipi itafaa?
Asanteni sanaaa na nitashukuru na kuheshimu mawazo yenu..