Mpwa jinsia pinzani ndio wanahusika zaidi hapaπPale umeenda Kanisa geni na mumeo alafu Mtumishi amuite mbele bila kujua ni Mumeo alafu ghafla anasema kijana nakuona ukioa mwaka huu tena utamuoa mzungu
Dada Utafanyaje ? ππππππππ