Assume tunawaza kwa sauti

Assume tunawaza kwa sauti

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Ingekuwa balaa. Mi wanawake wenye mahaga wangenifanya kitu mbaya kwa namna ambavyo huwa nawawazia. Sijui mdau wewe unawaza nini kwa sauti
 
CCM isingekuwa inatawala hii nchi kwa sababu Wengi ndani ya CCM hawakipendi ila ni wanafiki tu.
 
  • Thanks
Reactions: mja
da!!kazi ingeshanipotea siku nyingi,na nyumbani sijui kama kungekalika,maana ninavyomwazia hg wangu!!!!
 
Hivi hamkumbuki kuwa in any action there is equal and opposite reaction? Ndo hapo mamsap unamsikia anamuwaza jirani
 
mie nimepanga na hii nyumba naishi na karembo ka mwenye nyumba.. hi sasa nawaza hivi ngoja niandikeeee

.." nikija mpata huyu mtoto namuinamisha chuma mboga...afu nampiga mbuzi kagoma kwenda.... baada ya hapo nambanika kama kukiu.. aafuu nauacha mkono ufanye kazi ikulu,,, sugua kweli kweli ka nani hiii kale.... yaani hajinisahaauuu.. naingia mpaka chumviniiii... yaaaani nitamtiiiiiii..."

ndo nachowaza hicho..
 
Fikra za watu wengine tusingethubutu kuzisikia
 
Nadhani ingekua poa sana kwasababu hakuna mtu angeweza kumdhuru mwenzake maana unashtukiwa kabla ya kutenda mfn ukiwaza kumwibia mtu anakushtukia kabla, ila sipati picha kwenye nyumba zaibada ingekua vp mtuyuko ibadani huku anawaza akitoka aende kuiba au kuzini!
 
mmmhhhhh
nisinge pendwa maana
naongea sana akilini mwangu
na ya chuja halafu ndo nayasema

sante Mungu hakuna ajualo niwazalo
kabla sijachuja maanake mmmmmhhh
 
mi huwa nawaza kwa kiwetu so watu wengine wasingenielewa kabisaaaaaaaa
 
Mawazo mengine bwana, unaweza ukawaza alaf katika kuwaza huko kunapelekea uso wako kukaa katika mkao kama vile anagugumia maumivu huku anatafuna miwa au mihogo mibichi, kumbe mtu anawaza mambo ya chumvini.
 
Mawazo mengine bwana, unaweza ukawaza alaf katika kuwaza huko kunapelekea uso wako kukaa katika mkao kama vile anagugumia maumivu huku anatafuna miwa au mihogo mibichi, kumbe mtu anawaza mambo ya chumvini.

mh! Chumvi na jirani yake magadi
 
Back
Top Bottom