H HOBYNOBY Member May 23, 2013 44 4 Jun 19, 2013 #1 Utafanyaje endapo ukiona maisha yote uliyoishi kumbe ni "NDOTO" unaamka unakuta bado upo darasa la kwanza.
Utafanyaje endapo ukiona maisha yote uliyoishi kumbe ni "NDOTO" unaamka unakuta bado upo darasa la kwanza.
L lazima ukae JF-Expert Member May 15, 2013 788 380 Jun 19, 2013 #2 Ntafurahi sababu kulelewa raha sana
H HOBYNOBY Member May 23, 2013 44 4 Jun 19, 2013 Thread starter #3 Hahahaaa nmekupata vlvyo "lazima ukae" 2po pa1 ingawa mmh! camn kama kwel utafurahi
S sabry101 Member Jun 17, 2013 18 1 Jun 19, 2013 #4 ahahhahhahaaa nitalala tena ili niote tena ili nirekebishe makoxa nilifnya.
A aduwilly JF-Expert Member Mar 11, 2009 1,176 305 Jun 20, 2013 #5 lazima ukae said: Ntafurahi sababu kulelewa raha sana Click to expand... mbona hata sasa unaweza lelewa tu
lazima ukae said: Ntafurahi sababu kulelewa raha sana Click to expand... mbona hata sasa unaweza lelewa tu
Mapolomoko JF-Expert Member Feb 16, 2013 1,751 417 Jun 20, 2013 #6 Nitafurahi kwakuwa nitashinda na kwenda shule za kata enzizetu Mwanza ilikuwa na shule 1 mkichaguliwa sana 3 kwa shule moja
Nitafurahi kwakuwa nitashinda na kwenda shule za kata enzizetu Mwanza ilikuwa na shule 1 mkichaguliwa sana 3 kwa shule moja
lowale JF-Expert Member Aug 10, 2012 209 108 Jun 20, 2013 #7 sitamani kurudi nyuma hata hatua moja.maana huko nilikotoka ni kugumu sana
Baba V JF-Expert Member Dec 29, 2010 19,482 9,517 Jun 20, 2013 #8 HOBYNOBY said: Utafanyaje endapo ukiona maisha yote uliyoishi kumbe ni "NDOTO" unaamka unakuta bado upo darasa la kwanza. Click to expand... Dah... Ntashukuru Mungu, na hizi rafu nilizocheza..! Mwe..!
HOBYNOBY said: Utafanyaje endapo ukiona maisha yote uliyoishi kumbe ni "NDOTO" unaamka unakuta bado upo darasa la kwanza. Click to expand... Dah... Ntashukuru Mungu, na hizi rafu nilizocheza..! Mwe..!
H HOBYNOBY Member May 23, 2013 44 4 Jun 20, 2013 Thread starter #10 Unafkr kuw maisha yatakuw maref kiac gan? kama ndoto ya ucku m1 tu ipo hiv itabd 2clale teeeena ili maisha yaanze live.
Unafkr kuw maisha yatakuw maref kiac gan? kama ndoto ya ucku m1 tu ipo hiv itabd 2clale teeeena ili maisha yaanze live.
D dotcomlady Senior Member May 2, 2013 137 11 Jun 20, 2013 #11 Ningefurahi mana kila ktu wafanyiwa Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
H HOBYNOBY Member May 23, 2013 44 4 Jun 20, 2013 Thread starter #12 Mmmh! na vp kuhusu mikikimikiki ya kiprimary ulyoiotea ndoto yaan unaianza upya jaman. Binafc nngetafuna daftar zoooote.
Mmmh! na vp kuhusu mikikimikiki ya kiprimary ulyoiotea ndoto yaan unaianza upya jaman. Binafc nngetafuna daftar zoooote.
M MUME MWEMA JF-Expert Member May 16, 2013 327 44 Jun 30, 2013 #17 lazima ukae said: Ntafurahi sababu kulelewa raha sana Click to expand... "Wanaume wa leo, madada wa leo, wanapenda kulelewaaa "x3 kumbe haka kakorasi kana ukweli fulani.
lazima ukae said: Ntafurahi sababu kulelewa raha sana Click to expand... "Wanaume wa leo, madada wa leo, wanapenda kulelewaaa "x3 kumbe haka kakorasi kana ukweli fulani.
goldiegoddess Member Jun 29, 2013 6 1 Jun 30, 2013 #18 Ht m ntafurah xana maan nngyarekebsha mabaya yote n kuwa mtu mweny maadili mema