Assistant Minister's Car in Bhang Drama

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=0zqKMYjI-XI&feature=player_embedded[/ame]

Hii ndio kazi ya viongozi wetu, kuuza bangi na madawa. Habari ndio hiyo.
 
Hii mabo si ajabu hata Bongo inaendelea kiutaratibu. Kweli afrika kuna kazi bana.
 
kwetu ingehitaji kuundwa kwa tume wakt jamaa anaendelea kuvuna
 
Mkuu Maxshimba,

Hapa nadhani umezidi mpaka maana there is no where in that
clip wanamtaja Waziri Mkuu wa Kenya kuhusika na hii kitu.

If anything hilo gari ni la Wizara ya Fedha na the Minister in charge
of that Ministry is non other than Uhuru Kenyatta.

Tujaribu kua waangalifu on such matters ama tutaonekana kama
Ze utamu hapa JF.

Regards.
 
luo-mps1.jpg

Mkuu ni Naibu Waziri Dr. Oburu Odinga ndugu "Elder Brother" ya Waziri Mkuu Odinga.
 
Mkuu ni Naibu Waziri Odinga ndugu ya Waziri Mkuu Odinga.

Maxshimba,

Nimekupata bro lakini kumbuka ni 'gari la wizara yake' and it
could be the drivers doing it on their own...or it could be
Uhuru Kenyatta aliyewatuma maana anajulikana wazi kama
mchomaji.

So the thing is still up in the air and I just want to give everybody
the benefit of the doubt.Kuna sehemu humu ndani baada ya kama
1;20 minutes hivi wanasmea bangi inatoka Tanzania.

The Pandora box is still open na nadhani unanipata.

Tuko pamoja.
 
Jamaa zetu lazima watulaumu. Eti sisi wazalishaji, wao watumiaji. Kaazi kweli mkuu.

Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom