Kwa sasa hii ni mara ya tatu ya mzigo wangu kutoka nje kupotea posta kwa hali tatanishi.
Nilianza kutumia posta miaka kama minne iliyopita na mizigo haikuwahi kupotea. Ila kama miezi minane iliyopita kuna mambo very strange happening.
Niliwahi kusikia watu kupoteza mizigo ambayo haina tracking number, ila hii style mpya wanaiba pia mizigo yenye tracking number. Nimeshapoteza mmoja toka UK na miwili toka USA.
Ukifuata tracking number unaona jinsa ilivyopita kule kwa wenzetu hadi ikatoka nchini hata post office and date stamp you can see clearly. But once out of those countries the package disappears.
Kufuatilia customer service ni upotevu mkubwa wa muda.Utatumwa kwenye kila idara zote chini ya jua. mara nenda huku... nenda kule... nenda pale. Na hata siku moja hawakuruhusihi kuongea na wakubwa husika.
I hope kuna mtu atakayeweza kunisaidia na channel nitakayoweza kupitia ili haya maswala yaangaliwe kwa ndani.
This has become too much. Kama ni hivi ndo wonder watu wanakimbilia mashirika ya kigeni kama DHL na UPS. Mimi hujaribu sana kutumia indigenous goods and services lakini hii inakatisha tamaa!
Wadau, PLEASE ASSIST!