What incontrovertible proof do you have that shows the government had absolutely nothing to do with it?
Azimio, kumbuka kitu kimoja. serikali na huenda hata Ikulu, haihusiki na hili kwa kusema nendeni mkamteke Ulimboka, hapana. Hapa JK yuko sahihi kabisa na kutohusika na serikali. Serikali inatoa maagizo kwa Polisi na Usalama wa Taifa kwamba wakusanye habari kuhusu kwa mfano, nani wako nyuma ya mgomo wa madktari. Sasa mengine ni kutotumia tu busara eidha kwa field officers au mabosi wa polisi na Usalama wa Taifa juu ya njia wanazotumia kupata habari walizoagizwa na serikali.Synthesizer; Agalia kwa makini sana Postulate yangu! Nimeacha kwa makusidi kujiigiza kwenye cheap argument kuwa serekali inahusika au haihusiki. Kila mtu atalikimbilia hilo na kulitolea matamko marahisi tu!
NA HOJI:
SEREKALI IMEFAIDI KIASIGANI SASA NA SIKUZIJAZO KWA UNYAMA ALOFANYIWA DR ULIMBOKA KWENYE UTATUZI WA MGOMO WA MADAKTARI? Nani haoni Unyama huo ulivyobadilisha upepo MZIMA wa swala zima la mgomo wa Ma Drs?
Nani haoini Woga ulioitanda Tanzania Nzima kuwa lazima kuiitii Serekali kwa lazima kwani kungolewa meno na kucha sasa inaweza kuwa jadi?
Hivi Ni kweli kabisa, kuwa Unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka haujampa Rais wa Jamhuri ya Tanzania ... KUJIAMINI?
Hivi kweli, SiKuwa unyama aliofanyiwa Dr Ulimboka umempa Waziri Mkuu KKUJIAMINI NA KUONA KAMA HE IS ARCHIVING THE OBJECTIVES?
Kwa hiyo ona argument yangu. Si jakalia hoja ya kuwa serekali imehusika au haikuhusika. ILa Kila Mtanzania leo akihojiwa kuwa Serekali ime benefit kama njia ya kumanage MGOMO wa MA DR kwa Kuumizwa kwa Dr Ulimboka unafikiri majibu yatakuwa nini?
Alafu Tutahoji ... WHAT A COINCIDENCE? ..
NB: Hadi hapo hatujishugulishi na serekali kuhusika au kutohusika!!
What incontrovertible proof do you have that shows the government had absolutely anything to do with it?
What incontrovertible proof do you have that shows the government had absolutely nothing to do with it?
......
d. Government agents? Well they would have the motive - silence the most prominent face of Doctor's strike and sending fear to everybody else. But another motive seems to be very clear now - especially with JK's speech last night. Doctor Ulimboka was not wanted by some people WITHIN the government during the negotiations. Kikwete told the nation that it was his decision to have Ulimboka continue to be a member of the panel negotiation with the governemnt. IF THIS IS TRUE then Kikwete POSSIBLY did not know who planned the assault but someone in the government did!
Whoever in the government planned this incident knew a number of things pretty well:...
MMM
Azimio, kumbuka kitu kimoja. serikali na huenda hata Ikulu, haihusiki na hili kwa kusema nendeni mkamteke Ulimboka, hapana. Hapa JK yuko sahihi kabisa na kutohusika na serikali.!
Did I say the government has absolutely nothing to do with it? You need to read what I say, rather than peruse and jump to conclusions.
Synthesizer is relying on her/his intuition...
What incontrovertible proof do you have that shows the government had absolutely nothing to do with it?
Kivipi? Kwamba iundwe tume "huru" ya kuchunguza nani anahusika?
What makes you say JK is absolutely right? What if he is not telling the whole truth?
Haya yote uliyasema kwenye kurasa za nyuma ama ndiyo unayasema sasa baaada ya mimi kuhoji?I think the best thing for me is to repeat this in Kiswahili; kumbuka kitu kimoja; serikali na huenda hata Ikulu, haihusiki na hili kwa kusema nendeni mkamteke Ulimboka...
Hili si suala la tume ni suala la uhalifu. Tume ingeubdwa kuchunguza utendaji wa TISS na Polisi siyo kuchunguza uhalifu. Kama vyombo vyetu vya kusimamia sgetia vinaonekana viko compromised basi kinatafutwa chombo cha nje ya hivyo.
You can reverse the question; why the Government and not somebody from the opposition? Never trust politician whether is from ruling part or opposition, they will do anything for the sake of popularity;
Tatizo wamekuwa wakiamini suala hili lina msukumo wa moja kwa moja na siasa za vyama. Wamejaribu sana kutafuta namna ya kuhusisha matatizo haya ya madaktari na siasa (kuwa wazi zaidi, CDM) lakini so far wanashindwa. Ndio maana unaona 'wanajikanyaga' tu (TISS/polisi, bunge, rais, mahakama) - hawajui watajinasua vipi!You can reverse the question; why the Government and not somebody from the opposition? Never trust politician whether is from ruling part or opposition, they will do anything for the sake of popularity; very interesting within opposition you have some guys who were big time MAJAMBAZI;they can engineer the moves just for sake of politics; I can tell you if you open your mind and look deep you will see something beyond the Government.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Haya yote uliyasema kwenye kurasa za nyuma ama ndiyo unayasema sasa baaada ya mimi kuhoji?
Ndahani,
Hizi ni what if?
Basi tuache ku speculate tusubiri uchunguzi utuambie nani amehusika.
MMM:Five days later no one has been arrested for criminal assault ....Now, as Sherlock Holmes would say..."once you eliminate the impossible (a through c); whatever remains (the government agents), however improbable must be the truth".
What does this mean?....