janeth1
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,151
- 768
Asprin penye udhia tia rupia! hebu onesha nia kwa kumtupia shekeli nono uone kama uchoyo wake hautayeyeka
hela ananipa mme wangu hapa ni stor tu na baba yang af nitampa zawad pia teh teh..
Asprin penye udhia tia rupia! hebu onesha nia kwa kumtupia shekeli nono uone kama uchoyo wake hautayeyeka
hahahahaa 'na zawadi utampa'
Kumbe nyie wengine kila siku mnaanzisha thread .Mimi hii ni siku ya pili KILA NIKI SUBMIT MANENO niliyo andika ili yatokee kama uzi .Maandishi yote yanafutika na uzi hautokei humu .Sijui nimepigwa life banned ya kuanzisha thread.Ndugu jamaa na marafiki mliopo jamvini .Tatizo hili limenikuta anayejua namna ya kulitatua naomba mnisaidie nime PM moderator lakini tatizo bado linaendelea.
Sura yako na uchoyo wala havifanani.
Mm kuanzia nijiunge na JF nafikiri ni post 5 tuu nimeanzisha..

Sasa ndo mpaka umeweka ushahidi hapa? Mchepuko watu huenda kimyakimya. Nakusubiri.
Hebu fanya mandingo nikamatemo huu mchuchu..... Mi naona hausikii wimbo wangu. Si unaona kalivyo kabishi?Asprin penye udhia tia rupia! hebu onesha nia kwa kumtupia shekeli nono uone kama uchoyo wake hautayeyeka
Hata uji ntakunywa ili mradi unipe nitakavyo.hahahaa babu nimekunyma nin tena. Kumbe hauna meno twende nikakupe uji.
ayaaaaaaaaaaaa.......... mbwa kaingia msikitini, ngoja nisepe.........:flypig::flypig:nimekubamba sijakubambaaaaaa
Hebu fanya mandingo nikamatemo huu mchuchu..... Mi naona hausikii wimbo wangu. Si unaona kalivyo kabishi?
Hata uji ntakunywa ili mradi unipe nitakavyo.
nimekubamba sijakubambaaaaaa
Uji wako ntaunywa tu. Najua unawekaga chumvi kwa mbaliiiii. Nletee huo uji laaziz.Aaaa babu utaishia kunywa uji tu..
Uji wako ntaunywa tu. Najua unawekaga chumvi kwa mbaliiiii. Nletee huo uji laaziz.
Mm kuanzia nijiunge na JF nafikiri ni post 5 tuu nimeanzisha..
Sitoshangaa ukipigwa ban kuanzisha thread