huyo huyo mwekundu
ameshabadili....ameokoka!
Sasa ndo mpaka umeweka ushahidi hapa? Mchepuko watu huenda kimyakimya. Nakusubiri.
mchepuko noma nitaenda kmyakmya yatanishnda bure. Tafta kibar kwanza.
haikusaidii na haitakusaidia ...!
Sura yako na uchoyo wala havifanani.