Ubahili mwingine bana[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Yani hako kabenchi kameokoa wengi sana na magharama ya vyumba vya wageni
Sasa kama hawa hawana wasiwasi kabisa...
View attachment 701749
Jisalimishe Kwake Pm kwa ukaguzi...
Thubutu kuonja!
MuongezeeNimpunguzie kidogo?
[emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Afadhali umeelewa sasa maana nilitaka nikupeleke field mpaka uone hatma yake inavyokuwa
Afwazali[emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji491] [emoji490] [emoji482] [emoji100] [emoji100] [emoji100][emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapa sina babu ngoja nitafute ukoo kwingine
@ Behaviourist
Miss nanihiiMshana huyu wa kike ni nani maana sio Sky walai...
Kufa sifi lakini cha moto ninakionaDada hapa kazi unayo
Duh!! Bro !! Baada ya mdingi kushikwa masikio na kuuza kibanda chake. Hapo anasetiwa kufanya transactions kutoka account hii kwenda kwa ya... Miss nani umesema ?Miss naniliu.... Nata....
Tunajua ameongezea chumvi kwa ku edit ila chunga asije akakunukuu vibaya. huyu bro si wa kimchezoHii thread ni uchonganishi na uzandiki mkubwa. Umeletwa na mtu mwenye hila na chuki dhidi yangu na familia yangu
Naomba mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu Sakayo waupuuze.
Najipanga kumpeleka mahakamani mshana jr na kumdai fidia ya shilingi moja kama hataomba radhi ndani ya siku tatu.
Wajukuu zangu tafadhali zipuuzeni taarifa hizi na msiache kuja kwa babu yenu kukaguliwa kama ilivyo desturi na mila zetu.