Asprin, Kaizer et al!!!!!!!!!!!!

Yaks!
Napatia picha wakati kainamia toilet kurudisha change, some hair getting messy! Bora bhange aisee!
Galz of today drink like their fathers lakini, ndo mtindo.

Ukiona mtu analewa mpaka anatapika ujue huyo mlevi na pombe ni za kudandia hakununua yeye
 
Huyo atakuwa na tamaa! zikikutosha fanya kama unaenda toilet kisha nduki! Ukijifanya kifaru wakati hujui mifuko ya watu ikoje aah lazima wakudandie!

Umenena vyema unalewa mpaka unatapika mambo gani hayo...................
 
Habari zenu woooote...........

Asprin, Kaizer na group yenu nimefundishwa dawa ya hang over jana toka maeneo fulani..........

Ukiamka nazo chukua Maziwa mtindi + Fresh Apple katakata ndani yake kunywa kwa pamoja unakuwa freeeshh huna haja ya supu

Muwe na siku njema (Mie nimejaribu leo nikawa bomba mbaya)
Aisee ahsante kwa taarifa. Ila najiuliza nikiwa nshautwika mtungi wangu kisawasawa, huo mtindi utapitia mdomo upi? Khaa!

Dawa ya moto ni moto! Ukiamka nalo unazimua nalo!!! Unapata nguvu mpya hari mpya na kasi mpya ya kufanya mambo yako!
Hili ndilo neno la mungu wa pombe. Wanywaji wote semeni amina.
DA bana! Solution to hangover is to stay drunk!
Ila hata ndizi mbivu naskia inakata hangover.
Umesema vema mnywa fanta..... Ila kwa taarifa tu ndizi mbivu zinatoa miharufu ya pombe na siyo hangover. Na haifai kwa watu wepesi wa kutapika
 
Aisee ahsante kwa taarifa. Ila najiuliza nikiwa nshautwika mtungi wangu kisawasawa, huo mtindi utapitia mdomo upi? Khaa!

Hili ndilo neno la mungu wa pombe. Wanywaji wote semeni amina.
Umesema vema mnywa fanta..... Ila kwa taarifa tu ndizi mbivu zinatoa miharufu ya pombe na siyo hangover. Na haifai kwa watu wepesi wa kutapika

Asprin hapo juu weka kwenye friji acha uvivu...........Habari yake lakini
 
Huo muda wa kuweka kwenye friji, bar zitakuwa zimefungwa au?

Mama nanihiii akuwekeee eti baa zimefungwa..........uweke maziwa kwenye friji sio bia najua unataka ukamwone mwajuma na ashura kunywa pombe home wewe haipo
 
Sijashangaa kulewa
Nimeshangaa katikati ya wiki, kama ni kweli

Yaks!
Napatia picha wakati kainamia toilet kurudisha change, some hair getting messy! Bora bhange aisee!
Galz of today drink like their fathers lakini, ndo mtindo.
 
Back
Top Bottom