Habari zenu woooote...........
Asprin, Kaizer na group yenu nimefundishwa dawa ya hang over jana toka maeneo fulani..........
Ukiamka nazo chukua Maziwa mtindi + Fresh Apple katakata ndani yake kunywa kwa pamoja unakuwa freeeshh huna haja ya supu
Muwe na siku njema (Mie nimejaribu leo nikawa bomba mbaya)
Kwani wewe Dena Amsi ni mlevi?
Nyani Ngabu kusoma hajui hata picha haielewi! Mpe darasa Dena Amsi!Ha ha ha ha ha hapa ngoja nipite tu
Nyani Ngabu kusoma hajui hata picha haielewi! Mpe darasa Dena Amsi!
Nyani Ngabu kusoma hajui hata picha haielewi! Mpe darasa Dena Amsi!
Huyo atakuwa na tamaa! zikikutosha fanya kama unaenda toilet kisha nduki! Ukijifanya kifaru wakati hujui mifuko ya watu ikoje aah lazima wakudandie!Lady unalewa hadi unapatwa mning'inio? Ushaona mdada aliyekunywa akalewa hadi akaanza kutapika?
That's very un-ladylike......
hayakuhuuuuu!!!!Kwani wewe Dena Amsi ni mlevi?
mkeo mbon mlevi wa kutupwa mpaka ananikera?Lady unalewa hadi unapatwa mning'inio? Ushaona mdada aliyekunywa akalewa hadi akaanza kutapika?
That's very un-ladylike......
mkeo mbon mlevi wa kutupwa mpaka ananikera?
hayakuhuuuuu!!!!
Lady unalewa hadi unapatwa mning'inio? Ushaona mdada aliyekunywa akalewa hadi akaanza kutapika?
That's very un-ladylike......
ndo tunatua toka holiday Mallorca...kwi kwi kwiBabu J umefubaa siku hizi.