Asalam,
Nimeona maongezi kadhaa kwenye media, mengine ya kupongeza, mengine ya kuponda, mengine yasiyoyojua historia, mengine matusi, mengine ya udini na ukabila.
Hayo yote ni kufuatia Mabadiliko na harakati za CCM kujitengeneza UPYA baada ya kupitia kipindi kigumu sana kati ya 2015 hadi 2021.
Mabadiliko ya Jana ya Mzee Abdrahaman ni ukamilifu tu wa kukirudisha Chama kwenye mikono salama, ya wanaojua kilikotoka, kiendako katika kuijenga Tanzania.
Mengi ya kihistoria yaliandikwa hapa na wengi, lakini nimtaje mmoja ambae kwa kweli amejitahidi sana kuiweka historia mahali pake. Huyu si mwingine bali ni Mzee wetu Mohamed Said.
Mwalimu Nyerere alikaribishwa kama wengine tu mlivyo karibishwa. Pwani ndio kitovu cha Siasa za nchi hii. Na nikiitaja pwani ni Tanga, Pwani, Dsm, lindi, Mtwara na Zanzibar.
Sasa basi malalamiko ya Wabara wengi yanakosa msingi wa kihistoria, kimantiki na yaliyojaa upotoshaji. Madhila mliyotufanyia hii miaka mi5 hayatatoka mioyoni mwetu. Hatuyasemi lakn tumejifunza.
Wazee wetu wa DSM walitukanwa na kijana wenu RC. Na kundi lake, walidhalilisha familia zetu, familia zilizowapokea, kuwalea na kuwatunza.
Kama hayo hayatoshi mkamtukana JK na Familia yake na kumtusi ya nguoni. Waliokijenga Chama wakawa wageni.
Natamani kuwaambia na nyie tafuteni chenu lakini nashindwa kusema hayo.
Karibuni tujenge nchi lakini wafunzeni wanenu kuheshimiana, Kuheshimu wazee, wazazi na waliowatangulia kwenye utumishi wa nchi hii.